Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Mnaweka breaking news wakati watu tunamuona tangia asubuhi akitokea Chato duh!

Your browser is not able to display this video.
 
Kahutubia Singida muda si mrefu atakuwa Manyoni then Dodoma. Kaifuata Corona halafu anaiponda. Hii Corona ukiiponda ndo inakuja kukuonyesha yenyewe ni nani.

Keshapiga cha Madagascar, acha raia waaminishwe porojo tu.
 
Wewe kigogo2014 umemfanya mzee arudi mjini haraka sana kastuka documents mnazitoa wapi kaona kama mbwai mbwai ngoja awahi kabla hamjakusa file muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…