ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahutubia Singida muda si mrefu atakuwa Manyoni then Dodoma. Kaifuata Corona halafu anaiponda. Hii Corona ukiiponda ndo inakuja kukuonyesha yenyewe ni nani.
Wewe nawe Mbowe na Magu ni wale wale tu wasaka tonge.
Kwa Sasa tujue gonjwa lipo iliyobaki kujilinda mwenyewe na familia yako tuAnajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Maandishi yako tu machafu namna hii kinywa chako je?Aisee kuna watu akisikia jpm tumbo linawauma na kuharisha muda huohuo au kujambajamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahutubia Singida muda si mrefu atakuwa Manyoni then Dodoma. Kaifuata Corona halafu anaiponda. Hii Corona ukiiponda ndo inakuja kukuonyesha yenyewe ni nani.
Mmefurai kumuona rais eee chapeni kazi mkumbuke na kupiga nyunguUsimuamshe aliyelala. Kakatiza Tabora kwa speed ya upepo na helicopter ya ulinzi juu.
Haa😀😁😂Anawasalimia wananchi wa sehemu Corona ilipoota mizizi!
Sokoine hospital, Ilongelo hospital!
Wewe nawe Mbowe na Magu ni wale wale tu wasaka tonge.