Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023 View: https://youtu.be/JIEFboO2SNY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya mkoa wa Singida na kuhutubia mkutano wa hadhara uwanja wa Bombadia mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023