LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.



Screenshot_2024-09-29-13-26-58-1.png
Screenshot_2024-09-29-13-27-08-1.png
 
asubiri kugaragazwa chaguzi zote kwani ndicho chadema walichopanda
 
Oyooooo! Rais ajae huyu..

Yule mvaa ushungi arudi nchini kwake 2025.

Chura kiziwi sasa baaasi.
 
Ningependa kuona cdm hawashiriki huu uchaguzi
Maana tunajuwa kutakuwepo
Na faulo na sarakasi nyingi

Ova
 
Back
Top Bottom