shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
huyo nimbowe tuu ndugu erithi hakuna mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaamini kwenye mambo ya imani tu. Kwenye mambo ambayo si ya imani, tunatumia utafiti. Usiwe unaamini kwenye mambo ambayo yanahitaji utafitiUnetumia vibaya neno "kuchafuliwa".
Ukisema kuchafuliwa ina maana HUAMINI kuwa Magufuli ndiye aliyewaamuru Makonda na WASIOJULIKANA kumshambulia Lissu
Hiyo ndio Solution.Ipigwe nduru Tuwanyowe...
Kwa maisha yalivyo na serekali yetu inavyotuendesha ni degree tosha yakuwa MpinzaniSasa hivi hata wanafunzi wanaomaliza Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo Vikuu baada ya 2010 hawajui kabisa Elimu ya Siasa,watawezaje kuunda Vyama vya Siasa makini?Huwezi pata mpinzani wa kweli kwenye jamii iliyojazwa ujinga.
Hii imeniuma sana na nimeamua kuiweka katika maombi binafsi kuanzia tarehe 27/ 6/ 2024, wahusika ama kwa kutumwa au la wajiandae au wajisalimishe ,Mungu wangu sio wa mchezo kitaumana tuTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba...
Huwezi kuwa mpinzani wa kweli kwenye serikali ambayo inaamini kuwa Urais ni Uungu na ili uwe mzalendo wa kweli lazima uwe CCM au vyama mbadala vinavyopambana kudhoofisha Chama Kikuu cha Upinzani.Kwa maisha yalivyo na serekali yetu inavyotuendesha ni degree tosha yakuwa Mpinzani
RC ni mtoto Kwa mama ameshasema!!Makonda yupo kuendeleza pale alipoachia
Itakuwa vijana wa Mbowe, nyie mnagombea uenyekiti wa Chadema Taifa mmalizane wenyewe huko Chadema
Una uhakika kuwa sijafanya utafiti? Au hujui maana ya UTAFITI?Tunaamini kwenye mambo ya imani tu. Kwenye mambo ambayo si ya imani, tunatumia utafiti. Usiwe unaamini kwenye mambo ambayo yanahitaji utafiti
It doesn't matter adui au hao "wasiojulikana" watoka wapi iwe ndani ya CCM na serikali yao, CHADEMA au popote. Muaji ni muaji tu..Mnyukano unaoendelea ndani ya chadema umeanza kutuonyesha upande wa pili wa shilingi !Wana Chadema wengi wapo tayari kumlinda mtu kuliko chama ! Tl amelalamika kwamba anafuatiliwa na gari ambayo haifahamiki ni ya nani !? Kwa Hali ilivyo kwa sasa chadema sio mshindani wa ccm ! Watu hawana attention Sana na chadema kama ilivyokuwa zamani !kama Kuna mtu au watu wanamfuatilia Tundu basi wanatoka ndani ya chadema yenyewe!! Kwa sasa imeundwa timu ya kumdhoofisha kwa namna yoyote ile na vibaraka wa mkuu wa chama ,Tundu anapaswa kuwa makini na watu wa ndani kuliko hata walioko nje? Adui wa Tundu kwa sasa ni chadema wenyewe