Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Prof Muruma alivyopata kigugumizi akiwa MIGA kama nguruwe aliyelowa......Mabilioni yakapigwa.Tutashitakiwa MIGA tukidai madini yetu ~~~~ Lisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof Muruma alivyopata kigugumizi akiwa MIGA kama nguruwe aliyelowa......Mabilioni yakapigwa.Tutashitakiwa MIGA tukidai madini yetu ~~~~ Lisu
Lissu is the only Mzalendo tuliyenaye kwa sasa.Watu wanaofanya uhalifu hapo Tanzania kwa wale wote wanaoonekana ni threats kwenye utawala wa kifisadi na usiokuwa na tija, huwa wanakuwa eliminated au kuwekewa shida kubwa kuficha madudu yao.
Lissu was almost dead, but he did not. Lissu anamaanisha mengi kwa watanzania kushinda kiongozi yoyote wa CCM combined ambao over 60 years nchi ipo vile vile kama TUpo
Kizimu.
Lissu anatoa TAHADHARI, na sisi tunatoa tahadhari, upumbavu uliofanyika 2017 ukirudiwa tena , we will deal with them , watu wanaofanya upumbavu kama huo wanaishi mitaani kama watanzania wengine, they have nothing special and we will get busy with them as well .
CCM mnapotaka Tanzania ifike, itafika….. it is just a matter of time.
Lissu asisumbuliwe, he is the only hope kwa tanzania kwa sasa who can speak the truth and he has our blessings
Red Brigade!Itakuwa vijana wa Mbowe, nyie mnagombea uenyekiti wa Chadema Taifa mmalizane wenyewe huko Chadema
Hawawezi kuvumilia kwa sababu hawajiamini ,Kweli tufanye siasa za uhuru,
Tuvumiliane
Lissu anatisha Nchini !Siku zote huwa unaandika vitu vya kitoto tu.
Hayo maneno ya Laigwanaan Tundu Lissu ni dalili kuwa yeye ana "Phobia" ama Woga na hofu saa zote.nyinyi mnajua mimi nimeshambuliwa sasa nikiona hali kama hiyo ninaogopa
Huyu bwana haeleweki. Kila siku yeye anafuatiliwa. Magu yuko kaburini, nani tena anamfuatilia? Au amekariri wimbo bila kujua wakati umepita?Mleta mada wa kwanza kushughulikiwa
Alisema kule Dodoma mkaongea kama haya, lakini akachapwa risasi kadhaa..!! Amesema tena, mnarudia yale yale..!!Itakuwa vijana wa Mbowe, nyie mnagombea uenyekiti wa Chadema Taifa mmalizane wenyewe huko Chadema
Naishi kinachoendelea - mama mstaarabuKweli tufanye siasa za uhuru,
Tuvumiliane
😕😆😆😆Kama walimpa kesi ya ugaidi ya kubambikiwa wanashindwaje kupita nae na wana ushahidi kabisa anahusika?
Makalio yakifanya kazi yake na kichwa kazi yake huwezi andika post kama hii. AMINI.
Yaani hapa Tanzania kati ya watu nisioo waamini ni Mwigulu na Makonda, hawa jamaa wame fanya mambo mengi sana maovuView attachment 3009916
Mwanzoni mwaka 2017 alianza hivihivi kutoa taarifa kwa IGP Simon Sirro, akapuuzwa. Matokeo yake ni risasi 16 kuzamishwa mwilini mwake na kikundi cha DAUDI BASHITE kilichotumwa na Mwendazake.
Je safari hii nani yuko nyuma ya huu USHENZI? IGP Wambura chukua hatua
Makonda yupo kuendeleza pale alipoachiaTuambie, labda amefufuka!!
Tumkingie kifua mama enu😀
Uko sahihi na mimi najua mpango huu wote ni Mwigulu Nchemba.Ila Lisu kwa nini analazimisha kuishi Tanzania ambako kuna watu hawataki kuona hata sura yake?Maisha ni popote pale ali mradi unaishi.Hakuna haja ya kulazimisha maisha mahali pale ambapo wenye utawala wanakufanyia figisu za kila aina.Pole sana kwa kamanda mwenzangu ila Mungu yupo.Yaani hapa Tanzania kati ya watu nisioo waamini ni Mwigulu na Makonda, hawa jamaa wame fanya mambo mengi sana maovu
Hata hili la Lissu kufuatiliwa siogopi kusema ni mipango ya huyu jamaa
Ukweli ndiyo huo.Makonda yupo kuendeleza pale alipoachia
sasahivi adui wa lisu ni mbowe anatetea uenyekiti wake na mwiba hapo ni lissu unategemea hata mchachawangwe?Kuna siku itakuja fahamika ni yupi adui hasa wa Tundu Lissu, tuendelee kusubiri .
Polisi wapo walifanyie kazi hili acheni porojo za kipumbavu.Mbona Mdude akimtukana Mama Samiah polisi wanamkamata mara moja,kwa nini kama Mbowe anataka kumuua Lisu polisi wanyamaze kimya?sasahivi adui wa lisu ni mbowe anatetea uenyekiti wake na mwiba hapo ni lissu unategemea hata mchachawangwe?