Pre GE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

Pre GE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa wanavijiji hivyo na kwamba, watu hao wakifika eneo la Mkutano hujificha ili wasionekane kirahisi.

Lissu amesema kwamba ni vema watu hao wakajitambulisha kama ni Polisi na waseme wametumwa na nani, kufanya nini ili iweje, Vinginevyo atawalipua kwa wananchi ambao wataamua cha kuwafanya.

Zaidi soma hapa
---
"Toka nimeanza ziara yangu kuna gari inatufatilia halafu wakifika kwenye mkutano wanajificha, nyinyi mnajua mimi nimeshambuliwa sasa nikiona hali kama hiyo ninaogopa, nataka niseme kama ni Askari mje mniambie ili niwe na amani msiposema kesho kwenye mkutano wangu nitawanyooshea kidole maana vijana wangu wameshawatambua" Tundu Lissu, akiwa kwenye mkutano katika kata ya Matumbo Jimbo la Singida Kaskazini. Leo Juni 5, 2024.

TL amefanya vizuri kutoa taarifa hizi; Hapa sasa Serikali inabidi wachangamke wasiuje wakaxchafuiwa tena kama walivyowahi kuchafuliwa kipindi kile cha Hayati JPM. Hapa Serikali inabidi wachnagamke haraka sana; uchaguzi 2025 umebakiza miezi tu.
 
Polisi wapo walifanyie kazi hili acheni porojo za kipumbavu.Mbona Mdude akimtukana Mama Samiah polisi wanamkamata mara moja,kwa nini kama Mbowe anataka kumuua Lisu polisi wanyamaze kimya?
Kwanza usiwaamini waasisi wa Vyama vingi wengi hawakuwa wapinzanj halisi,Hata Mbowe usimuamini 100% kama ni Mpinzani.Sasa wanapokuja hawa akina Lissu ambao wanadhamira yakweli basi lolote linaweza tokea.
 
TL amefanya vizuri kutoa taarifa hizi; Hapa sasa Serikali inabidi wachangamke wasiuje wakaxchafuiwa tena kama walivyowahi kuchafuliwa kipindi kile cha Hayati JPM. Hapa Serikali inabidi wachnagamke haraka sana; uchaguzi 2025 umebakiza miezi tu.
Unetumia vibaya neno "kuchafuliwa".

Ukisema kuchafuliwa ina maana HUAMINI kuwa Magufuli ndiye aliyewaamuru Makonda na WASIOJULIKANA kumshambulia Lissu
 
Kwanza usiwaamini waasisi wa Vyama vingi wengi hawakuwa wapinzanj halisi,Hata Mbowe usimuamini 100% kama ni Mpinzani.Sasa wanapokuja hawa akina Lissu ambao wanadhamira yakweli basi lolote linaweza tokea.
Good.Lakini lengo la mfumo wa Vyama vingi nchini kwetu ni nini kama hatupendi kuvumiliana?
 
Unetumia vibaya neno "kuchafuliwa".

Ukisema kuchafuliwa ina maana HUAMINI kuwa Magufuli ndiye aliyewaamuru Makonda na WASIOJULIKANA kumshambulia Lissu
Anataka kututoa kwenye ukweli na kutupeleka kwenye porojo zao.
 
Good.Lakini lengo la mfumo wa Vyama vingi nchini kwetu ni nini kama hatupendi kuvumiliana?
Mwanzo waliasisi Vyama vingi kwakujiweka sawa machoni mwa wazungu,Wakawanyofoa Mamluki kimkakati ndani ya Ccm kuanzisha hivi vyama unavyoviona baadhi,Kilibakia Chadema nacho ndio kinakwenda kufa soon,Baada ya hapo ndio kizazi cha upinzani halisi kinashika hatamu. MBOWE SI MPINZANI
 
Daudi Albert Bashite Bado yupo hai na huru huku mtaani na serikalini. Na Bado ujasiri wake wa kiwendawazimu anao. Wawe naye makini. Yule ni kichaa. Anaweza fanya chochote.
 
Sasa hivi hata wanafunzi wanaomaliza Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo Vikuu baada ya 2010 hawajui kabisa Elimu ya Siasa,watawezaje kuunda Vyama vya Siasa makini?Huwezi pata mpinzani wa kweli kwenye jamii iliyojazwa ujinga.
 
Tunatakiwa tumlinde Lissu kama Dhahabu tena kwa Marungu Mishale na Silaha nyingine mbalimbali.

Asiejulikana anatakiwa azimishwe.

Na hizo Namba za hilo Gari zitupiwe humu ili sote tuzijue.
 
Daudi Albert Bashite Bado yupo hai na huru huku mtaani na serikalini. Na Bado ujasiri wake wa kiwendawazimu anao. Wawe naye makini. Yule ni kichaa. Anaweza fanya chochote.
Ukweli ndiyo huo ila wamwangalie sana Waziri wa Fedha yule ni hatari zaidi kuliko Makonda na Magufuri
 
Watu wanaofanya uhalifu hapo Tanzania kwa wale wote wanaoonekana ni threats kwenye utawala wa kifisadi na usiokuwa na tija, huwa wanakuwa eliminated au kuwekewa shida kubwa kuficha madudu yao...
Kama mmeshindwa hata kuwajua wa tukio lililopita ni kweli mtaweza kudeal nao?
 
Back
Top Bottom