Pre GE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba...
Achana na uenyeketi chadema utakua Bora ukamae n uRais
 
Mbowe kaamua,nasema ukweli utajulikana tu,nadhani hata waliomshambulia awali ni mbowe na genge lake
Na mbowe na genge lake ndio waliozuia asifanyiwe dua,asichangiwe na damu baada ya shambulio, ndio waliomfukuza bungeni na kumnyima stahiki zake, ndio waliokataa uchunguzi kutoka nje.

Vuta pumzi ya bure ila kejeli na dharau kwa binadamu mwenzako kisa tu mnatofautiana itikadi na kumchukia jua sehem ya kuingia ni moja.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa wanavijiji hivyo na kwamba, watu hao wakifika eneo la Mkutano hujificha ili wasionekane kirahisi.

Lissu amesema kwamba ni vema watu hao wakajitambulisha kama ni Polisi na waseme wametumwa na nani, kufanya nini ili iweje, Vinginevyo atawalipua kwa wananchi ambao wataamua cha kuwafanya.

Zaidi soma hapa
---
"Toka nimeanza ziara yangu kuna gari inatufatilia halafu wakifika kwenye mkutano wanajificha, nyinyi mnajua mimi nimeshambuliwa sasa nikiona hali kama hiyo ninaogopa, nataka niseme kama ni Askari mje mniambie ili niwe na amani msiposema kesho kwenye mkutano wangu nitawanyooshea kidole maana vijana wangu wameshawatambua" Tundu Lissu, akiwa kwenye mkutano katika kata ya Matumbo Jimbo la Singida Kaskazini. Leo Juni 5, 2024.

Wasakizieni tu kwa wananchi wenye hasira washughulike nao hao magaidi wa CCM kabla hawajakuua kwa mara ya pili.

MaCCM ni majitu yenye akili za kikwuma sana. Kwanini mnamfuatilia Tundu Lissu? Wapuuzi na nyang'ao wakubwa.

MaCCM mtakufa mkiwa mmechomeka kidole matakoni.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa wanavijiji hivyo na kwamba, watu hao wakifika eneo la Mkutano hujificha ili wasionekane kirahisi.

Lissu amesema kwamba ni vema watu hao wakajitambulisha kama ni Polisi na waseme wametumwa na nani, kufanya nini ili iweje, Vinginevyo atawalipua kwa wananchi ambao wataamua cha kuwafanya.

Zaidi soma hapa
---
"Toka nimeanza ziara yangu kuna gari inatufatilia halafu wakifika kwenye mkutano wanajificha, nyinyi mnajua mimi nimeshambuliwa sasa nikiona hali kama hiyo ninaogopa, nataka niseme kama ni Askari mje mniambie ili niwe na amani msiposema kesho kwenye mkutano wangu nitawanyooshea kidole maana vijana wangu wameshawatambua" Tundu Lissu, akiwa kwenye mkutano katika kata ya Matumbo Jimbo la Singida Kaskazini. Leo Juni 5, 2024.

Nchi yetu INA amani ya kutosha nadhani itakuwa ni usalama zaidi kwake
 
Watu wanaofanya uhalifu hapo Tanzania kwa wale wote wanaoonekana ni threats kwenye utawala wa kifisadi na usiokuwa na tija, huwa wanakuwa eliminated au kuwekewa shida kubwa kuficha madudu yao.

Lissu was almost dead, but he did not. Lissu anamaanisha mengi kwa watanzania kushinda kiongozi yoyote wa CCM combined ambao over 60 years nchi ipo vile vile kama TUpo
Kizimu.
Lissu anatoa TAHADHARI, na sisi tunatoa tahadhari, upumbavu uliofanyika 2017 ukirudiwa tena , we will deal with them , watu wanaofanya upumbavu kama huo wanaishi mitaani kama watanzania wengine, they have nothing special and we will get busy with them as well .
CCM mnapotaka Tanzania ifike, itafika….. it is just a matter of time.

Lissu asisumbuliwe, he is the only hope kwa tanzania kwa sasa who can speak the truth and he has our blessings
Umesema ukweli kabisa! Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi!
 
Vita yao ndani ya chama imefika pabaya, ila vyombo vya dola Jeshi la Polisi, serikali ya Rais Samia kwa ujumla watamuongezea ulinzi wa dhahiri na kificho.

Kama tuvyeo twa chadema ambato hatuna posho, wanataka kumalizana, hawa ndio wa kuwakabidhi nchi? Watauana au kupinduana kila siku na nchi itajaa ghasia na mauaji
Msifiche mambo yenu Kwa kutumika jina la Mbowe. Kila kitu Mbowe ili mfanye yenu mnatafuta kichaka. Ole wenu aguswe tena. Tumeshawashtukia!
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa wanavijiji hivyo na kwamba, watu hao wakifika eneo la Mkutano hujificha ili wasionekane kirahisi.

Lissu amesema kwamba ni vema watu hao wakajitambulisha kama ni Polisi na waseme wametumwa na nani, kufanya nini ili iweje, Vinginevyo atawalipua kwa wananchi ambao wataamua cha kuwafanya.

Zaidi soma hapa
---
"Toka nimeanza ziara yangu kuna gari inatufatilia halafu wakifika kwenye mkutano wanajificha, nyinyi mnajua mimi nimeshambuliwa sasa nikiona hali kama hiyo ninaogopa, nataka niseme kama ni Askari mje mniambie ili niwe na amani msiposema kesho kwenye mkutano wangu nitawanyooshea kidole maana vijana wangu wameshawatambua" Tundu Lissu, akiwa kwenye mkutano katika kata ya Matumbo Jimbo la Singida Kaskazini. Leo Juni 5, 2024.

Wanaona wivu na huenda wanatembea na Recording Media.

Mungu wa Lissu atawanyosha.
 
Vita yao ndani ya chama imefika pabaya, ila vyombo vya dola Jeshi la Polisi, serikali ya Rais Samia kwa ujumla watamuongezea ulinzi wa dhahiri na kificho.

Kama tuvyeo twa chadema ambato hatuna posho, wanataka kumalizana, hawa ndio wa kuwakabidhi nchi? Watauana au kupinduana kila siku na nchi itajaa ghasia na mauaji
Ccm mnataka kumteka tena? Hamjajifunza tu?
 
Back
Top Bottom