LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Apige kura isaidie nini wakati mmewambia waltumishi wa serikali kuwa wahakikishe iddadi ya walio jiandikisha ndiyo idadi ya kura zitakazo pigwa hata kama akija mpiga kura mmoja
Kumbe!!
 
Polisi wa nchi hii ni wapumbavu sana Hv huyo polisi anayefyatua risasi na kumuua mtu asiye na hatia anajisikiaje huko aliko,namuombea huyo askari siku moja awe kichaa tu.
 
Saa100 hataweza kusimamia uchaguzi mkuu 2025.
Mtambue huyu ni WA kupewa maelekezo TU!
"Kupewa maelekezo tu"? Bila ya yeye kuwa na matarajio ya kunufaika na matokeo ya maelekezo hayo?

Samia ni mshiriki namba moja katika yote hayo; usitafute njia za kumwondolea chochote.

She is as ruthless as they come.
 
"Kupewa maelekezo tu"? Bila ya yeye kuwa na matarajio ya kunufaika na matokeo ya maelekezo hayo?

Samia ni mshiriki namba moja katika yote hayo; usitafute njia za kumwondolea chochote.

She is as ruthless as they come.
Hakika
 
Ndio kwa kuhamasisha ujinga ile siku ya kufunga kampeni pale Ikungi.
Kwa hiyo aliwaita askari waje na bunduki waue mtu?

Ndugu yangu unachokishabikia ni fhahiri hata wewe ukishika bunduki utaweza kuua mtu kwa sababu anakutuhumu luiba kura na utapeleka lawama kwa aliyewaambia walinde kura zao.

Lakini kwa maneno yako, wewe ni mshiriki wa mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…