Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
GoodImefika hiyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GoodImefika hiyo mkuu
Unataka kumteka?
Hizi damu za wote waliouwawa kwenye uchaguzi huu ziwe juu ya kichwa cha Mchengerwa na mkwe wake
Hujui kitu wewe, Shut Up!!
Lema ,Mrema,na Mzee Mbowe naamini nitakuwa na uwezo walau kidogo kuliko wao.Hujui kitu wewe, Shut Up!!
Kumbe!!Apige kura isaidie nini wakati mmewambia waltumishi wa serikali kuwa wahakikishe iddadi ya walio jiandikisha ndiyo idadi ya kura zitakazo pigwa hata kama akija mpiga kura mmoja
Ndio kwa kuhamasisha ujinga ile siku ya kufunga kampeni pale Ikungi.Ndo alisababisha kifo????
Polisi wa nchi hii ni wapumbavu sana Hv huyo polisi anayefyatua risasi na kumuua mtu asiye na hatia anajisikiaje huko aliko,namuombea huyo askari siku moja awe kichaa tu.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao.
Unaua Mtu kwa sababu tu ni mgombea wa Chadema, Hakika tunamshukuru Mungu kwa kila Jambo, na Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu asiye na hatia, Amina.
View attachment 3165797View attachment 3165799
Mungu ibariki Chadema
"Kupewa maelekezo tu"? Bila ya yeye kuwa na matarajio ya kunufaika na matokeo ya maelekezo hayo?Saa100 hataweza kusimamia uchaguzi mkuu 2025.
Mtambue huyu ni WA kupewa maelekezo TU!
Hakika"Kupewa maelekezo tu"? Bila ya yeye kuwa na matarajio ya kunufaika na matokeo ya maelekezo hayo?
Samia ni mshiriki namba moja katika yote hayo; usitafute njia za kumwondolea chochote.
She is as ruthless as they come.
Kwa hiyo aliwaita askari waje na bunduki waue mtu?Ndio kwa kuhamasisha ujinga ile siku ya kufunga kampeni pale Ikungi.
Damu ya Mtu huwa inafika lita ngapi ili mtii kiu yenu ya kupata hicho kisusio??. Kunyweni maji nyie brutal killers.Jibu swali acha ujinga!