TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

Analog

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
323
Reaction score
618
1713294379912.png

Watu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika.

Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30 kijiji cha malendi kata ya mgongo.

========
UPDATE 1:

06:35pm

IDADI ya watu waliokufa katika ajali ya basi la Lujiga Express lenye namba za usajili T 315 CXX iliyotokea wilayani Iramba mkoani Singida imefikia 9 na majeruhi 19.

Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Daniel Paul amesema kati ya majeruhi hao, watatu ambao walikuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba (Kiomboi) alikuwepo mwanamke mjamzito ambaye amefanyiwa operesheni na mtoto kukutwa amefariki tumboni.

Nipashe
 
Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.

Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.

Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.

Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
 
Ukiachana na makosa ya kibinadamu,hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.
Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.
Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.
Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
Moro(hasa kuanzia. Msamvu kwenda chalinze) na singida hii mikoa huwa INA ajari za Mara kwa mara
 
Samia anatuangamiza. Madereva wanatumia barabara kama vile hakuna serikali...
R.I.P.
Zamani,nilipokuwa rubani jeshini hiyo 315 ndio ilikuwa namba yangu.
Rubani wa jeshi hawatumii majina,wanatumia namba. Sijui rubani wa uraiani wanafanya vipi.
Kwa hiyo ninapotaka kufanya take-off(ninapokuwa 'njia moja') namwambia control tower,"315 take-off".
[No doubt,sasa kuna mtu ataniuliza,'Ulikuwa pilot unaitwa '315',so what?"
Halafu narudi baadaye kufanya landing,namwambia control tower,"315 traffic pattern" Traffic Pattern ndio mwendo wa mzunguko airport,kabla ndege haijatua.
Actually,mimi ni mwanajeshi,napaswa miwa kule nawashuti m23
 
Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.

Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.

Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.

Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
Hayo maroho mnayazingizia tu.ukweli mchungu ni mwendokasi japo hampendi kuambiwa hivyo
 
R.i.P Classmates...😥
Lakini mwendo mmeumekiza mkiwa sefani...😪
 
Back
Top Bottom