Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga mkuu wapi wakati ni muuguzi tu huyoWatu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika.
Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30 kijiji cha malendi kata ya mgongo.
========
UPDATE 1:
06:35pm
IDADI ya watu waliokufa katika ajali ya basi la Lujiga Express lenye namba za usajili T 315 CXX iliyotokea wilayani Iramba mkoani Singida imefikia 9 na majeruhi 19.
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Daniel Paul amesema kati ya majeruhi hao, watatu ambao walikuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba (Kiomboi) alikuwepo mwanamke mjamzito ambaye amefanyiwa operesheni na mtoto kukutwa amefariki tumboni.
Nipashe
Mwanangu nipo hapa Cate hotel ndo nataka kurudi town. Nakiwaza sana hichi kipande cha nane nane mpaka Msamvu!! Na hizi pombe za Eid!!! Pale kama kuna Izraeli mtoa roho!!!Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.
Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.
Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.
Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
😂😂Usiogope,endesha kwa umakini tu💪Mwanangu nipo hapa Cate hotel ndo nataka kurudi town. Nakiwaza sana hichi kipande cha nane nane mpaka Msamvu!! Na hizi pombe za Eid!!! Pale kama kuna Izraeli mtoa roho!!!
Ni mtazamo wako.Ajali zinatokea kwa sababu ya weakness za watu ikiwemo uendeshaji usiozingatia sheria, gari mbovu, miundombinu mibovu n. k. Hakuna kitu kinachoitwa mungu na hakijawahi kuwepo.
Sawa "tunayazingizia"Hayo maroho mnayazingizia tu.ukweli mchungu ni mwendokasi japo hampendi kuambiwa hivyo
Safari za usiku bado sio salama sanaWatu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika.
Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30 kijiji cha malendi kata ya mgongo.
========
UPDATE 1:
06:35pm
IDADI ya watu waliokufa katika ajali ya basi la Lujiga Express lenye namba za usajili T 315 CXX iliyotokea wilayani Iramba mkoani Singida imefikia 9 na majeruhi 19.
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Daniel Paul amesema kati ya majeruhi hao, watatu ambao walikuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba (Kiomboi) alikuwepo mwanamke mjamzito ambaye amefanyiwa operesheni na mtoto kukutwa amefariki tumboni.
Nipashe
Kazana mkuupengine wanaweza kupitia tofauti na tunayopitia...tuphotoe tu
Fafanua nikuelewe, anahusikaje hapo?Samia anatuangamiza. Madereva wanatumia barabara kama vile hakuna serikali...
Hapo nyumban kabisa yan kila baada yasiku kadhaa lazima kipande cha cate hotel to kingolwira damu imwagikeMwanangu nipo hapa Cate hotel ndo nataka kurudi town. Nakiwaza sana hichi kipande cha nane nane mpaka Msamvu!! Na hizi pombe za Eid!!! Pale kama kuna Izraeli mtoa roho!!!
Samahani mkuu, hii inakuaje? Nimejaribu ku google lakini sijapata maelezo mazuri..Upo sahihi lakini pia Kuna tatizo la Tanroad na barabara zao ambazo hazina fail safe area, sehemu kama iyovi na msimba mikumi ikitokea gari limepata breakdown kwenye zile kona ni ngumu sana kuzuia ajali isitokee.
Dah wapumzike kwa amani ndugu zetuWatu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika.