Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hadi majeruhi mkuu?Wapumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi majeruhi mkuu?Wapumzike kwa amani
MarehemuHadi majeruhi mkuu?
Bila Tanroads kufanya hivi kwenye barabara za kuunganisha mikoa mtaendela kufa hadi mkome.Upo sahihi lakini pia Kuna tatizo la Tanroad na barabara zao ambazo hazina fail safe area, sehemu kama iyovi na msimba mikumi ikitokea gari limepata breakdown kwenye zile kona ni ngumu sana kuzuia ajali isitokee.
Dual carriage ways!! Upo Sahishi kabisa!! sijui wanafeli wapi?Bila Tanroads kufanya hivi kwenye barabara za kuunganisha mikoa mtaendela kufa hadi mkome.View attachment 2960302
Mwenyezi Mungu awafariji wategemezi na ndugu za marehemuWatu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika.
Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30 kijiji cha malendi kata ya mgongo.
========
UPDATE 1:
06:35pm
IDADI ya watu waliokufa katika ajali ya basi la Lujiga Express lenye namba za usajili T 315 CXX iliyotokea wilayani Iramba mkoani Singida imefikia 9 na majeruhi 19.
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Daniel Paul amesema kati ya majeruhi hao, watatu ambao walikuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba (Kiomboi) alikuwepo mwanamke mjamzito ambaye amefanyiwa operesheni na mtoto kukutwa amefariki tumboni.
Nipashe
Si sawa kivip mkuu wakati tunapashwa taarifa muhim najua unachowaza kuhusu picha za kutisha hizo lkn inarahisisha kuona na kutambua ndugu kwa haraka zaid na kujua nn ufanyehii si sawa kabisa
Ni sawa kabisa tukifichaficha hizi mambo za ajali kama hazipo ndo mbaya zaidihii si sawa kabisa
walipaswa kuficha sura za hao marehemuSi sawa kivip mkuu wakati tunapashwa taarifa muhim najua unachowaza kuhusu picha za kutisha hizo lkn inarahisisha kuona na kutambua ndugu kwa haraka zaid na kujua nn ufanye