Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kiume,ana miaka miwili tu..alipofariki mamake mama yake mkubwa alimchukua kumlea.

Pole mpendwa...... Mungu hamuachi mwenye haki, atamkuza mtoto katika hekima na kimo
 
Sema nini single fathers hawa mmmmmm ngumu to be single afain
 
Nice. Gud dad
 
Mi ni single mother nina watoto wawili wa kike, mmoja miaka 9 na mwingine 6. Mimi mwenyewe nina miaka 34, nilipata talaka mwaka 2014 baada ya mi kwenda UDOM kujiendeleza kielimu mwanaume akatekwa na ndo ikawa chanzo cha talaka, nina imani hakuwa wangu wa kwangu atakuja, bado nina imani katika ndoa, tuombeane na kufarijiana wapendwa.
 
Huku kuna vituko

Wengine wanamshukuru Mungu kuzaa kwa zinaa na wanafurahia uzao wa zinaa, wengine kujifariji tuu kwa zinaa walizopitia

Hakuna mwema hata mm nina yangu ila hapa unajidhalilisha na unamtukana Mungu japo hatukujui,bora ujutie hapa ila sio kujifurahia na hapohapo unamshirikisha Mungu katika upuuzi uliofanya ukazaa tunda linalokutesa sasa
 
Nice. Gud dad
I love it, always watoto wa kike huwa na mapenzi na baba zaidi kuliko mama hasa wakiwa wadogo na huyo wa kiume kama angekuwepo mama yake basi ungemuona ambavyo angempenda mama yake, ni ishu ya kisaikolojia, hongera kwa kuwatunza vema, keep it up.
 
Proudly single mama for over 10 yrs. Niliolewa tukashindwana. Sijutiii. My twin daughters 17 years na son 11. I am kicking fine wanasoma the best school without a pen from their biological father. Sina pia mwanaume mfadhili as since usichana na utoto wangu niliweka msimamo wa kutoingilia ndoa ya mwanamke Mwenzangu. So napigana kusomesha plus project's zangu.

Ila mwishoni ninaamini nitapata mzee Mwenzangu not attached to a relationship ili tuzeeshane tuu. By that time nitakuwa nimemaliza kusomesha wanangu angalao wa mwisho awe University. Hivyo wagani au ambao walishatalikiana wanakaribishwa. Sitaki kuwa sababu ya kuvunjika ndoa ya mwanamke. Acha Mungu akahukumu wale walioendekeza zinaa na kuvunja ndoa. Watazibeba mikononi Siku ya hukumu.
 
Such A Loving Father!...... Congrats [emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…