Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Kuzaa kabla ya ndoa ni tabu sana no matter unapata faraja kubwa kwa mtoto, mi mwanangu hajawahi kutamka baba na hata akisikia watoto wenzie wanaita baba zao hapendi kabisa na sijawahi hata kumfundisha hayo, binafsi nawashauri wadada msifanye mistake jamani, uwiiii
 
Sasa kwa nini tuone aibu haaaaa mi am proudly single mumy ukinidharau au kunicheka utajibeba here am
 
Kuzaa kabla ya ndoa ni tabu sana no matter unapata faraja kubwa kwa mtoto, mi mwanangu hajawahi kutamka baba na hata akisikia watoto wenzie wanaita baba zao hapendi kabisa na sijawah hata kumfundisha hayo, binafsi nawashauri wadada msifanye mistake jamani, uwiiii
Duh
 
Mi ni single mother nina watoto wawili wa kike,mmoja miaka 9 na mwingine 6,,Mimi mwenyewe nina miaka 34,nilipata talaka mwaka 2014 baada ya mi kwenda UDOM kujiendeleza kielimu mwanaume akatekwa na ndo ikawa chanzo cha talaka,,nina imani hakuwa wangu wa kwangu atakuja,,bado nina imani katika ndoa,,tuombeane na kufarijiana wapendwa
Mola atakujaalia.. yaonyesha umeongea kutoka moyoni kabisa.
Amini yupo na utampata
 
Huku kuna vituko

Wengine wanamshukuru mungu kuzaa kwa zinaa na wanafurahia uzao wa zinaa,wengine kujifariji tuu kwa zinaa walizopitia

Hakuna mwema hata mm nina yangu ila hapa unajidhalilisha na unamtukana Mungu japo hatukujui,bora ujutie hapa ila sio kujifurahia na hapohapo unamshirikisha Mungu katika upuuzi uliofanya ukazaa tunda linalokutesa sasa
Sidhani kama ulichokiandika unamaanisha ama ni utani.
 
Proudly single mama for over 10 yrs. Niliolewa tukashindwana. Sijutiii. My twin daughters 17 years na son 11. I am kicking fine wanasoma the best school without a pen from their biological father. Sina pia mwanaume mfadhili as since usichana na utoto wangu niliweka msimamo wa kutoingilia ndoa ya mwanamke Mwenzangu. So napigana kusomesha plus project's zangu. Ila mwishoni ninaamini nitapata mzee Mwenzangu not attached to a relationship ili tuzeeshane tuu. By that time nitakuwa nimemaliza kusomesha wanangu angalao wa mwisho awe University. Hivyo wagani au ambao walishatalikiana wanakaribishwa. Sitaki kuwa sababu ya kuvunjika ndoa ya mwanamke. Acha Mungu akahukumu wale walioendekeza zinaa na kuvunja ndoa. Watazibeba mikononi Siku ya hukumu.
Wewe ni mpambanaji na wengine wakuige kama mfano.
 
Back
Top Bottom