simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Tulio single parent tunapitia mengi. Hasa hasa tulio fiwa na baba na kubaki na mama. Ni Mungu tu anajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aithee Single Father Nipo HapaIam a single mom and proud to be one
NakuombeaMi ni single mother nina watoto wawili wa kike,mmoja miaka 9 na mwingine 6,,Mimi mwenyewe nina miaka 34,nilipata talaka mwaka 2014 baada ya mi kwenda UDOM kujiendeleza kielimu mwanaume akatekwa na ndo ikawa chanzo cha talaka,,nina imani hakuwa wangu wa kwangu atakuja,,bado nina imani katika ndoa,,tuombeane na kufarijiana wapendwa
Mmmmmh kazi ipooAithee Single Father Nipo Hapa
Hakuna KaziMmmmmh kazi ipoo
Ni mengi halafu ni magumu Mungu tu ndio ajuae ila isiwe sababu ya kuvunjika moyo ni kupambana na hali zetu naamini tutafanikiwa.Tulio single parent tunapitia mengi. Hasa hasa tulio fiwa na baba na kubaki na mama. Ni Mungu tu anajua
Atakubali kukupa mtotoMimi Mke nilie zaa nae yupo ....lakin Natunza Mtoto wangu akikua Namchukuaa..... Akifikisha Miaka 3 nabeba ......
Motivation_Ba.D
Atapata tu baba usijali...mudaKuzaa kabla ya ndoa ni tabu sana no matter unapata faraja kubwa kwa mtoto, mi mwanangu hajawahi kutamka baba na hata akisikia watoto wenzie wanaita baba zao hapendi kabisa na sijawah hata kumfundisha hayo, binafsi nawashauri wadada msifanye mistake jamani, uwiiii
Ooh mkuu pole sana. Baba yangu alikuwa kila kitu home kuanzia ada hadi chakula,Ni mengi halafu ni magumu Mungu tu ndio ajuae ila isiwe sababu ya kuvunjika moyo ni kupambana na hali zetu naamini tutafanikiwa.
Mimi niliachiwa watoto wawili mkubwa (wa kiume ) miaka 13 na mdogo (wa kike) miaka 7 niliyapitia mengi na yenye kuumiza sana lakini nilipambana nayo hadi sasa huu ni mwaka wa nne maisha yanasonga
Ndivyo ilivyotabiriwaMbona Single Mother Mpo Wengi Sana Aitheee
Innalillahi wainna illahi rajiun,am single faza,mwanangu ametimiza two yearz juzi tu.
mamake alifariki wakati anajifungua akabaki mwanangu.
Rip mamakamal.
Unadhani kuna wanaopenda?Kuzaa kabla ya ndoa ni tabu sana no matter unapata faraja kubwa kwa mtoto, mi mwanangu hajawahi kutamka baba na hata akisikia watoto wenzie wanaita baba zao hapendi kabisa na sijawah hata kumfundisha hayo, binafsi nawashauri wadada msifanye mistake jamani, uwiiii
Asante rafikiInnalillahi wainna illahi rajiun,
Pole sana mkuu
We singo maza pia?Innalillahi wainna illahi rajiun,
Pole sana mkuu
Ni kweli ila kuna tulioingiza kauzembe, kama Mimi ilikua ni uzembe kabisa najua kabisa nipo kwene danger lkn ili kuprove love kwa my man nkajiachia, kila kitu tunaweza kucontrol ni maamuzi tuu yanahitajikaUnadhani kuna wanaopenda?
Kuna vitu katika maisha ni under your control and you can't change,chamsingi nikuchagua aidha Ku move on au Ku give up
Huo sio uzembe. Its love.Ni kweli ila kuna tulioingiza kauzembe, kama Mimi ilikua ni uzembe kabisa najua kabisa nipo kwene danger lkn ili kuprove love kwa my man nkajiachia, kila kitu tunaweza kucontrol ni maamuzi tuu yanahitajika
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Huo sio uzembe. Its love.
Don't ever call uzembe, chamsingi umejifunza and naamini haitajirudia