Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Kuwa single mother sio uzinzi dada, kuna single mother hapa tulikuwa kwny ndoa, tulijitunza mpaka ndoa ndo tukazaa na mambo hayakuwa mazuri tumeachana ama wengine wenzi wao wamefariki so before judging or point a finger just think twice. Sio kila mwenye mtoto alimpata kwa kudanga/uzinzi usio rasmi. Hebu acha upuuzi
Nakusalimu mkuu
 
Ni changamoto gani unakutana nazo single parent na vipi unazi manage na/au ku cope nazo ?.
Changamoto ni nyingiiii mkuu kama mmi nina bint wa 6yrs am just me & her only tatizo ni jinsia mbili tofauti kwani najiuliza daily akipevuka what will i do cwez mpeleka kwa bib yake koz she is old enough ni rehema ya mungu tu she is gud +brity
 
Afadhali umejigundua kwamba wewe ni mjinga mkuu
Ujinga raha sana. Lakini Ujinga zaidi ni kufikiri kutegesha mimba ndo utaolewa. Siishi Jupiter hayo hapo na wengi wenu mnazama humo. Endeleeni kupambana na hali zenu na kutoa mapovu mengi zaidi.
Ila kumbukeni ulimbukeni wenu ndo mnaowanyima haki watoto wenu wa kuwa chini ya malezi ya baba na mama. Na ipo siku mtakuja kujibu mbele ya muumba.
NB: Jitafakari povu halisaidii.
 
Kuwa single mother sio uzinzi dada, kuna single mother hapa tulikuwa kwny ndoa, tulijitunza mpaka ndoa ndo tukazaa na mambo hayakuwa mazuri tumeachana ama wengine wenzi wao wamefariki so before judging or point a finger just think twice. Sio kila mwenye mtoto alimpata kwa kudanga/uzinzi usio rasmi. Hebu acha upuuzi
Ukweli hubaki ukweli daima

Sio wote ni uzinzi ila unajivunia lipi hasa!!!Mtoto kukosa malezi ya mzazi mmoja?Kulea kwa kujiona mbabe?
 
Kuzaa kabla ya ndoa ni tabu sana no matter unapata faraja kubwa kwa mtoto, mi mwanangu hajawahi kutamka baba na hata akisikia watoto wenzie wanaita baba zao hapendi kabisa na sijawah hata kumfundisha hayo, binafsi nawashauri wadada msifanye mistake jamani, uwiiii
Its true nataman kuambia wa dada huku ni pa gumu sana hata kama una fedha kuna kitu kina miss
 
Single father of 2...kang’ang’ania watoto nikaona isiwe tabu wakikua watanitafuta...I remember jibu baya alilonipa kuwa sina hela ngoja wanisaidie..but now nime m prove wrong niko vzr ila kaniachia kilema cha kutopenda tena the way i use to treat ladies back in the days it’s different now..
 
Back
Top Bottom