Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Pole mkuu. Apumzike kwa amani mama mtoto
Pole sana mkuu kwakweli sisi wengine kama mimi ni single father kwa sababu mke wangu alichanganywa na mji enzi zile za utawala wa J k wapiga deal walionekana kung'aa sana mjini sasa maisha yetu watumishi wa umma tukaonekana kawaida basi namie nikasema isiwe tabu
 
Back
Top Bottom