Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Jamna nahitai single mom mbona hamjitokezi....
 
Tegeni kote kote
59fc21b7e976356787285669361827af.jpg
 
Single father of 2...kang’ang’ania watoto nikaona isiwe tabu wakikua watanitafuta...I remember jibu baya alilonipa kuwa sina hela ngoja wanisaidie..but now nime m prove wrong niko vzr ila kaniachia kilema cha kutopenda tena the way i use to treat ladies back in the days it’s different now..
Kuna mambo yanatokea katika maisha ili tujifunze
 
Ujinga raha sana. Lakini Ujinga zaidi ni kufikiri kutegesha mimba ndo utaolewa. Siishi Jupiter hayo hapo na wengi wenu mnazama humo. Endeleeni kupambana na hali zenu na kutoa mapovu mengi zaidi.
Ila kumbukeni ulimbukeni wenu ndo mnaowanyima haki watoto wenu wa kuwa chini ya malezi ya baba na mama. Na ipo siku mtakuja kujibu mbele ya muumba.
NB: Jitafakari povu halisaidii.
Sorry niliolewa na nimezaa kwny ndoa mkuu watoto wawili wazuri, sina muda wa kutegesha mimba ili niolewe. Ninaakili timamu na najitambua haswa. Pole kwa povu
 
Eti single mother na Father
Tukiondoa wale waliofiwa wenza wao
Nyinyi wengine ni matatizo
 
Tutawajua waliozaa nje ya ndoa au kuachwa leo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Inawezekana kuzaa nje ya ndoa, inaweza kuwa dhambi lkn sio wa kwanza, na ukarekebisha.
Unaweza kuachwa, kuacha kwa ajili ya Amani ya roho, usalama n.k.
Unaweza ukawa single kwa kufiwa.

Yote hayo Mimi sioni kama ni shida, kwakuwa naamini sio mapenzi ya single kuwa single.
 
Boss wangu single mom. Anachukia wanaume. Kitu kidogo povu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Sie wakina singo faza mbona hatuwachukii wanawake ni ujinga wake tu, wa kushindwa kutawala hasira na hisia zake.
 
Back
Top Bottom