Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Kuzaa kabla ya ndoa ni tabu sana no matter unapata faraja kubwa kwa mtoto, mi mwanangu hajawahi kutamka baba na hata akisikia watoto wenzie wanaita baba zao hapendi kabisa na sijawahi hata kumfundisha hayo, binafsi nawashauri wadada msifanye mistake jamani, uwiiii
 
Sasa kwa nini tuone aibu haaaaa mi am proudly single mumy ukinidharau au kunicheka utajibeba here am
 
Duh
 
Mola atakujaalia.. yaonyesha umeongea kutoka moyoni kabisa.
Amini yupo na utampata
 
Sidhani kama ulichokiandika unamaanisha ama ni utani.
 
Wewe ni mpambanaji na wengine wakuige kama mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…