Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Tulio single parent tunapitia mengi. Hasa hasa tulio fiwa na baba na kubaki na mama. Ni Mungu tu anajua
 
Nakuombea
 
Tulio single parent tunapitia mengi. Hasa hasa tulio fiwa na baba na kubaki na mama. Ni Mungu tu anajua
Ni mengi halafu ni magumu Mungu tu ndio ajuae ila isiwe sababu ya kuvunjika moyo ni kupambana na hali zetu naamini tutafanikiwa.

Mimi niliachiwa watoto wawili mkubwa (wa kiume ) miaka 13 na mdogo (wa kike) miaka 7 niliyapitia mengi na yenye kuumiza sana lakini nilipambana nayo hadi sasa huu ni mwaka wa nne maisha yanasonga
 
Atapata tu baba usijali...muda
Ukifika
 
Ooh mkuu pole sana. Baba yangu alikuwa kila kitu home kuanzia ada hadi chakula,

Pia ndio alikuwa anamuugiza mama kulipa gharama za hospitali.
Alipokufa baba afu mbaya zaidi kamuacha mama amepalalaizi.

Aisee sitokuja kusahau hii kitu, kiongozi wa familia anaondoka afu anawaachia mzigo mzito usiobebeka. Nashukuru baba alituachia elimu angalau nilipo nashukuru.

Sitaki kukumbuka wala kuyaishi maisha niliyopitia
 
Unadhani kuna wanaopenda?
Kuna vitu katika maisha ni under your control and you can't change,chamsingi nikuchagua aidha Ku move on au Ku give up
 
Hahahahahahaha. Utafiti usio rasmi humu single mothers ni wengi mno. Ukiuliza haja zao (nye.ge) wanapunguzaje apart from kuchemsha maji watakutoa nduki na jibu wasikupe.
At times ujinga raha sana
 
Unadhani kuna wanaopenda?
Kuna vitu katika maisha ni under your control and you can't change,chamsingi nikuchagua aidha Ku move on au Ku give up
Ni kweli ila kuna tulioingiza kauzembe, kama Mimi ilikua ni uzembe kabisa najua kabisa nipo kwene danger lkn ili kuprove love kwa my man nkajiachia, kila kitu tunaweza kucontrol ni maamuzi tuu yanahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…