Single Maza kiboko ya Wavulana

Hata ujanja wa kuoa huna

A true man Hana hizo perepete online

Fanyeni kazi vijana

Nilioa single Maza nikaishi nae Kwa miaka 7, then nikamuacha si Kwa usaliti na wala hakuwaki kukumbusha kiporo na mzazi mwenzake

Nategemea tena kuoa single Maza mwingine very soon inshallah

Wako na ukomavu mkubwa na wanajua Maana ya Maisha.


Kwahiyo naongea kitu ninacho kifahamu.
 
Yupo kwenye ndoa, Mwanamke yeye anasema ana muandalia mwanae wa nje mali zake mwenyewe kwakuwa hana urithi tofauti na watoto wenzake ambao kawazaa ndani ya ndoa na mwanaume mwingine, sasa mkuu mfano wewe umeoa mwanake mwenye mtoto, umempa mtaji afanye biashara na faida anayopata ana mjengea mwanae mmoja uliyemkuta nae na wakati huo ameshazaa na wewe watoto watatu lakini yeye ana mjengea mtoto wake je ni sawa?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 

Kwa maelezo yako sio Sawa endapo hiyo biashara ni ya familia,Kwa maana Baba na mama wote wanashirikiana.

Lakini kama ni biashara ambayo mume amemfungulia mke wake Kwa maana yake mwenyewe basi hapo naona mke Hana kosa kwakuwa ana maamuzi juu ya pesa zake.

Na inavyoonekana hapo hiyo familia ina uwezo ndio maana mke kaona huyo mtoto wa nje nae asikose kitu,kwani sidhani kama Maisha yangekuwa ya kawaida Tu basi huyo mwanamke asingeweza kupata cha ziada na kupeleka huko nje.

Ila vyovyote itakavyokuwa naamini bado mume angeweza kuweka mambo Sawa.

Haya ni maoni yangu sio lazima niwe sahihi
 
Nakazia, akikupatia, utajuta. Ni wabinafsi sana. Hawana umoja. Wao na huyo mtoto wao wa nje Ndio furaha Yao. Atafanya Kila aezalo hata la kukukwaza wewe ilimradi tu linafaida kwa mwanae ( Hata kugawa mbususu nje huko) Yaan ni Kama mbususu zao hawazionei uthamani.
 
Ni kweli ni maoni lakini ukiangalia sababu ya vijana wengi kuto waoa single mother ni jambo moja siyo kwa single mother wote % kubwa ukiingia nae kwenye ndoa au uchumba malengo yao ni kwa mtoto wake tu'' tofauti ya msichana ambaye bado haja zaa yeye ukimuoa malengo yake ni kujenga familia pamoja na wazo lake kupata mtoto na kulea pamoja na kuwa na maisha bora, Sasa kwa single mother yeye anaingia kwenye ndoa kwaajili ya maslahi ya mtoto wake atahakikisha hiyo ndoa uliiyofunga nae maslahi yake yanaenda kwa mwanae atahakikisha kipato kinacho patikana kinaenda kumuendekeza mtoto, yani atahakikisha mtoto wake wa nje ana uhakika wa kusoma shule nzuri na huduma zote ana pata kupitia kwako akisha jihakikishia hilo ndiyo anawaza kuzaa nawewe na hapo utakuwa naye kwenye ndoa miaka ata 5 bila kupata naye mtoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Mimi nina swali, unawezaje kudhibiti handicap ambayo tayari ishatokea?
 

Mkuu nami siwezi kupinga maoni yako kwasababu moja,Mimi sisemi kuwa single Maza wote wazur hapana,wapo ambao wanamapungufu Yao na wapo ambao Wana mazuri Yao pia

Mimi huwa napinga ile Hali ya kuwafanya single Maza kuwa hawana maana au kuzaa kwao watoto au mtoto ionekane kuwa Ni Laana na hawastahili kuolewa hapo ndipo ugomvi wangu ulipo.

Naamini wao kama binadamu wengine wanakosea na baadae wanajifunza na Maisha yanaendelea pia.
 
Sawasawa mjomba
Ninaimani tukizidi kuelemishana tutalivuka hili
 
Ni kweli kaka itakuwa ni ngumu lakini inawezekana
Changamoto zipo kwao wenyew sababu liko kundi linalohamasisha wanawake kwamba wanaweza kusimama na kuongoza kama wanaume
Kujikweza kwao ndokuna waangusha hivyo katika kuwa elimisha huko changamoto ni kuwatoa katika ilo ombwe lakujiona yakuwa na wao wanaweza kusimama kama wanaume

Hili la maisha ya starehe ni changamoto pia mabinti wanafubaza akili zao hawazipi muda wa kutafakari na kufikiri waone yakuwa hao waume za watu wanaowakimbilia kisa wanamafanikio tayari na pesa za kuwatunza wanazo ni watu wenye umri wa mtu mzima kuelekea uzeeni na wengine niwazee

Wanashindwa kutambua yakua wazee hao katika ujana wao na wao walipambana kutafuta hayo matunda wanayokula uzeeni najiulizaga sana kwanini ushindwe kumvumilia kijana ukimbie na wazee

Kwenye hili ni malize kwa kusema tuu tamaa na pupa siyo nzuri ata wanaoishi kwa kutunzwa na wazee bado maisha wanayoishi yanachangamoto nyingi sana sababu kuna nyakati mzee ananasa zaidi kwenye familia yake au anafungua koloni lingine na pia malezi ya watoto yanatia uruma
 
Ishu single mama issue ni je mtoto yupo Kwa baba yake au Kila kitu single mother kama ni single mother na ANAISHI NA MTOTO WAKE YAAN BABA YAKE HAWAJIBIKI HAPO TATIZO!!!!ILA KAMA NI SINGLE MOTHER NA BABA YAKE KAMCHUA NI FRESH TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…