Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #41
Hata ujanja wa kuoa huna
A true man Hana hizo perepete online
Fanyeni kazi vijana
Nilioa single Maza nikaishi nae Kwa miaka 7, then nikamuacha si Kwa usaliti na wala hakuwaki kukumbusha kiporo na mzazi mwenzake
Nategemea tena kuoa single Maza mwingine very soon inshallah
Wako na ukomavu mkubwa na wanajua Maana ya Maisha.
Kwahiyo naongea kitu ninacho kifahamu.