Single Maza kiboko ya Wavulana

Mi pia ni muhanga wa hao watu na sitaki hata kuwasikia ila sina bifu nao, japo roho inauma kuwa mbali na mwanangu ila hamna namna
 

Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake

Nimeyapokea maoni yako

Karibu sana
 
acheni kuwatupia lawama vijana, maana kijana akishindwa kuisupport hiyo familia lawama zote ni kwake na hamna mtu atakayejali anawatu wangapi nyuma wanamtegemea.
Acha kulialia tafuta hela kijana
 
Mi pia ni muhanga wa hao watu na sitaki hata kuwasikia ila sina bifu nao, japo roho inauma kuwa mbali na mwanangu ila hamna namna
Uishi Maisha marefu

Nimependa kauli yako hutaki kuwasikia lakini huna bifu nao

Shukrani sana
 
Single Maza ni binadamu kama wengine,wapo wema na wabaya

Aliye mbaya ahukumiwe Kwa ubaya wake

Na mwema Kwa wema wake

Kwakufanya hivyo tutatenda haki daima.
 
Kuna singomother ni mchepuko Wangu Niko nae kwny mahusiano mwaka wa 2 Sasa.

Mengi mabaya yanayozungumzwa humu jf khs singomother siyaoni kabisa kwake.

Ana nafuu sana kuliko hata mamaJ wangu ambae ananipasua kichwa kila kukicha.

Zaid Zaid Mimi Ndo nampasua kichwa huyu singomother.

Mi nadhan suala la usumbufu Ni tabia TU ya mtu.
 
Kila la kheri. Never drop the ball
 

((Mi nadhan suala la usumbufu Ni tabia TU ya mtu.))

Nakazia hii kauli yako

Shukrani
 
Huo ndio mtihani walionao single mother wengi

Na ni ngumu kuushinda!!! Kwasababu hiyo
Inatuwia vigumu sisi wengine kuwaowa!

Dear sister unaesoma line hi
Me n mwanaume nakuambia anaekupenda ni huyo aliekuowa

Huyo mwingine ni kwasababu tu anakuona cheep na huwez kuruka tu ndio maana akikumwagia shahawa zake anasepa hadi akutamani tena

Sanuka
Lindakipochi chako kwa ustawi wa ndoa yako.
 

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa

Umetafunaaa afu umepuliza
Alafu ukamaliza kabisa
 
Mimi mtazamo wwngu ni tofauti juu ya hili,

Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake ambaye alipanga kwamba mambo yakikaa vizuri anamuoa, lakin kumbe mwanamke alikuwa na mwanaume mwingine, akampiga chini jamaa na hapo wote walikuwa chuo, basi baada ya miaka miwili baada ya kumaliza chuo jamaa akapata mchumba na mwaka watatu wakat jamaa anaelekea kuoa Binti ndio akajitokeza tena akiwa na mtoto huku anaomba msamaha akimuomba jamaa warudiane, na huyo ni msomi mwenye digrii yake ana akili ya kujua mema na mabaya. Nakubaliana na mdau hapo juu kwamba wengi wao wanataka hata wanapokatazwa ni wabishi. Kama umempenda singo Maza oa TU.
 
Kama uko kwenye kampeni ya kuwatetea,shida inaaza kwa hao walio pata ndoa tayari ndio wanawajengea ulakini.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…