Single Maza kiboko ya Wavulana

Malezi na changamoto za kimaisha yamechangia pakubwa ongezeko la single mamaz..
 
Ni kweli na hata wakikaa wenyewe na kujitafakari wanajua kuna mahali walikosea. Na makosa yenyewe ni yale yale ya kutokuwa muaminifu, ulimbukeni wa kutokuwa na subira.
 
Ni kweli mkuu kijana anayetafuta maisha hatakiwi kuoa single mother, kuna mfanyakazi mwenzangu yeye alikuwa anaishi na single mother sasa akamfungulia biashara ya Restaurant yule single mother kafanya hiyo biashara miezi 8 akaifunga jamaa akauliza mbona umefunga biashara single mother akajibu hakuna wateja, Jamaa kupeleza kwa mfanyakazi aliyekuwa anamsaidia, jamaa akaja kujua kumbe mwanamke alikuwa pesa ya mauzo ana tume nyumbani kwao kwaajili ya mtoto wake ndiyo sababu ya mtaji kufilisika.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli unavyosema inakuwa ngumu kijana kulea mtoto wa mwanaume mwingine na huyo baba mtoto yupo na anafanya kaz, Mimi nilishawai kuwa na Single mother mmoja sijajua ana tatizo la uelewa mdogo kuhusu Maisha, Sasa yeye alikuwa mpenzi wangu tatizo lilianzia alikuwa ana nibebesha majukumu ya baba mtoto wake eti nimsaidie Ada ya mtoto na kodi ya nyumba na chakula, Mimi nikawa mgumu kwasababu nikiingia kwenye huo mtego sitaweza kufanya malengo yangu, sasa alivyoona nasumbua kumtimizia mahitaji yake kuna sikua akaniambia mimi sasa wewe huwezi kuni hudumia ata siku moja kama unaweza nilipie kodi, mavazi, chakula na Ada ya mwanangu Mimi nikamjibu siwezi kufanya hivyo kwasababu wewe siyo mke wangu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Single mother wengi wanao pata shida ni waliozaa na waume za watu na uzoefu nimejionea, Kama binti umezaa na kijana lazima kijana atakuwa ana toa huduma kwa kiwango cha uchumi wake na waziz wakija wakiume lazima watamjua mjukuu wao, Wanawake wengi walio zaa na waume za watu watoto wao wanakuwa hawajulikani na upande wa baba mtoto inakuja kujulikana mtoto kashakuwa mkubwa au baada ya Baba kufariki.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unalea mtoto wake angalau kwa %85?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ukimpata Single mother ambaye anataka kuwa na wewe ili kumlea mtoto wake kwa kupitia kipata chako huyo siyo mzuri kwanini akupe wewe majukumu ya baba mtoto wakati Baba mtoto yupo ana kula Bata tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Je kama baba wa huyo mtoto kakataa mtoto na hataki kuhudumia wewe utafanyaje au mzazi mwenzake afanyaje?
 
Etuglur nini kimekukuta mbona unatetea hoja yako kwa hoja nyepesi.
Sipingi singo maza kuolewa ila unavyowatetea unatumia hoja nyepesi sana. Soma hiyo post yako Tena niliyoikwoti. Hapo umeshindwa kutambua kuwa uchumi wa mume unatumika kujenga malengo ya nje ya familia yake.
 
Okay, Sasa nimeelewa. Ndiyo maana niliuliza hapo juu nini kimekukuta.
 
Sasa wewe unaona Nani ana makosa hapo,je single Maza au Mume ambaye hajui anataka nini?

Kama mume anajua anataka nini,basi si anasema wife mbona sielewi hapa mambo yanavyoenda,Nataka mambo yawe moja mbili tatu
 
Hakunaga hiyo tena hao wanakataaga watoto nakusema sio wake akikuaa anaanza usumbufu
 
Single maza wa kuoa ni yule aliyefiwa na mumewe basi. Hawa wengine ujasiriamali unawatosha
 
Don't generalise, wapo masingle mums wanaojielewa sana.Walishaachika na wazazi wenza ila wanasimamia majukumu ya watoto wao kwa asilimia zote Wala hawamtegemei mtu Wala kudanga.

Kwanza mtoa mada unatakiwa uelewe kwamba Hakuna single mum aliyejitakia Hali hiyo ya kuwa single mother, maybe ilitokea kwa bahati mbaya labda mtu alifiwa na mzazi mwenza na akaapa kuishi hivyo bila ya kuolewa Wala kudanga.

Mungu na awafanyie wepesi masingle mothers wote Duniani 🙏
 
Acha kulialia tafuta hela kijana
Mzee pesa hazitafutwi ili kuwaridhisha wanawake mkuu. Kama nikitafuta pesa kwa malengo hayo, basi ujue nishafeli au nishapoteze njia. Tumia busara ya utu uzima wako mzee.
 
Je kama baba wa huyo mtoto kakataa mtoto na hataki kuhudumia wewe utafanyaje au mzazi mwenzake afanyaje?
Utakuta huyo baba mtoto kakataa kwasababu zao ambazo mtoto hausiki na hakuna mzazi anayekataa mtoto wake wanawake wengi kisingizio chao kwa mwanaume mpya ni kumsingizia baba mtoto kamkataa mtoto na atakwambia nime block na kufuta namba zake, kumbe ukifanya uchunguzi ni usanii mtupu yani Single mother wengi ni waongo, Single mother wakweli ni wale wanao jiweza kiuchumi na baba mtoto ana muhudumia mtoto wake na ata akiingia kwenye mahusiano haingii kuwaajiri ya njaa ya mtoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…