Kimya mkuu.....hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....
Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha?....
Hivi haya maswali wahusika wamejibu Kweli?
Wewe ni mhanga alafu wasema hivi?No,easy mkuu!
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!
We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨
NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana😍😘
Umemjibu vipi?Du wakati nasoma huu uzi muda huu 22hr30, kuna Single mom hua namkwepa sana mana Alisha nipa papuchi sana amenitumia sms muda huu NIJE, imebidi nicheke tu mana hata sijamaliza huu uzi. Mungu awasaidie Single mama
Huyu ni huyo....mpe pole mkuuJamaa hajakaza kamba mbona hampinduagi mm Kuna mama mtoto wangu mmoja nimejilia tunda kimasihara juz Kati na kaolewa na tulikua tumezinguana Sana Tena Sana mm sito kuja kuoa single mother najua tachapiwa kimasihara 😎😎😎
Hongera kwa kukuza aisee. Mimi nililelewa na mama pekeake mpaka aliponiacha wakati nipo form 6. Am so proud of you singo mamas, siwezi wadharau nisije pata laana bure.Miaka 8
Ayaaaa Sasa Mimi sinywi pombe, sio mtu wa starehe za kwenye Ma Bar, Nina Maisha huru Nina familia, alafu bado Kijanaaa kijanaaaaaa ....🤣🤣🤣🤣, katika ubora wako mkuu, sukuma nyama.
Hahaha...😆😆😆 Daah nimecheka nimepaliwa mate kooni nimekohoa hadi nimeachia ushuzi
🤣🤣🤣Hahaha...
View attachment 2664787
Shida inaanziaga hapo kwenye sentesi ya kwanzaUsimzuie kumwona mwanae,Ila weka mipaka kati yako na yeye,yan akikuona ajue nyie ni strangers and it's all about mtoto,hapo atakuheshimu🙏asirudie kosa kumvulia kyupi tena mwanaume aliyekataa damu yake,huyo ni demon,ukibanwa genye kakigawe bure hata kwa shamba boi ila yeye usimpe access Tena.
Amen!Asante sana, ubarikiwe sana ...Yaan sana