Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Vizuri sana mkuu πŸ™
 
Too much...umeeleweka mbona.Ninachojua mwanaume asili yake huwa haongei sana mkuu
Najua wanaume hatutakiwi kuongea sana ila wanawake mnatubadili. Maana wanaume wasioongea sana wanatakiwa kuwa wanapiga wanawake maana ndio namna yao ya kuonyesha hisia zao wanapokasirishwa na jambo.

Tukifanya hivyo mnasema wanaume ni abusive. [emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake sijui mpoje.
 
Sawa mkuu..shukrani
 
Sheemeji leo umeniuzunisha sana 🀨🀨 Zulu man naomba uzibe pengo vyema mama wa watu bado moyo unavuja dam



Sema kuna wanaume jau sana na majeuri ole wake mwanaume wa hivi aje kwa dada yangu mwangu naua
Hatakiwi kunionesha hili Jambo/majuto/alipokosea na watu waliopita maana naona kama ananipa hofu
 
Wanaodiss single moms mostly wamelelewa na single parent.
But i think its good. Kufight your own weakness. Hii nature ya mwanamke kulea watoto mwenyewe ni kansa kubwa sana katika jamii na madhara yake ni ngumu sana kuyareverse.

Natamani sana kushare nawe research papers za tafiti za kijamii katika familia za watu weusi especially kule Marekani ili uone.

Wataalamu wanakwambia viumbe hufanana tabia hata wakiwa located katika different geographical locations. Watu weusi wakiwa subjected katika mazingira ya kufanana wanabahave the same.

Tazama jamii ya mwafrika marekani na ya mwafrika South Africa, sababu ya kuishi na Mzungu wamejikuta wanaathiriwa na kuwa na tabia zile zile za kufanana kimatokeo, uhalifu, matukio ya mauwaji, ubakaji, molestations, homosexuality, obesity, Single motherhood, Dead beat fathers,drugs, na number kubwa ya jailed males.

Single motherhood ndio one of the source au breeding ground ya hizi social chaos zingine nimekulistia hapo juu.

Ukisema its Okay for single mother hood kuexist u might as well say Yes to drugs, homosexuality, AIDS, STDs, crimes like Panyaroad, etc.
 
Msamiati Single mother umeanza miaka ya 1960s,tena umeanzia Marekani katika jamii ya mtu mweusi.

Ni sawa na kusema amapiano ilikuwapo Tanzania kabla ya uhuru, hivi ni kweli?! [emoji23][emoji23]
 
Hapo sawa....

Mi mwenyewe nipo na mama tu, miaka mingi sasa, bado sijasoma changamoto yeyote....

Hii mitazamo sijui watu wanaitoa wapi...
 
Tatizo single moms wanaendelea kuongezeka kea Kasi ya 4G.Wanawake kuingia kichwa kichwa kwenye mahusiano bila ya kutumia hata akili za kuzaliwa ndo madhara Yake haya.

Tamaa ndo kitu kikubwa kinachowaponza wadada wengi.
 
To yeye na Sisi Wanaume tuliowazalisha Wanawake na wakatukimbia na watoto wetu na hatujui Mzazi na Mtoto wako wapi tufanyaje ??
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
🀣🀣🀣🀣 Nimecheka kweli yaan....sa itakuwaje 🀭
 
🀣🀣🀣🀣 Nimecheka kweli yaan....sa itakuwaje 🀭
We acha tu yaani hii dunia ikiamua kukunyasa mbona utateseka sana kiakili 🀣🀣🀣
 
Hapo sawa....

Mi mwenyewe nipo na mama tu, miaka mingi sasa, bado sijasoma changamoto yeyote....

Hii mitazamo sijui watu wanaitoa wapi...
😍😍😍😍😍 U made me cry aisee...msalimu sana mama.Just tell her I say much love to herπŸ’•πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…