Wanaodiss single moms mostly wamelelewa na single parent.
But i think its good. Kufight your own weakness. Hii nature ya mwanamke kulea watoto mwenyewe ni kansa kubwa sana katika jamii na madhara yake ni ngumu sana kuyareverse.
Natamani sana kushare nawe research papers za tafiti za kijamii katika familia za watu weusi especially kule Marekani ili uone.
Wataalamu wanakwambia viumbe hufanana tabia hata wakiwa located katika different geographical locations. Watu weusi wakiwa subjected katika mazingira ya kufanana wanabahave the same.
Tazama jamii ya mwafrika marekani na ya mwafrika South Africa, sababu ya kuishi na Mzungu wamejikuta wanaathiriwa na kuwa na tabia zile zile za kufanana kimatokeo, uhalifu, matukio ya mauwaji, ubakaji, molestations, homosexuality, obesity, Single motherhood, Dead beat fathers,drugs, na number kubwa ya jailed males.
Single motherhood ndio one of the source au breeding ground ya hizi social chaos zingine nimekulistia hapo juu.
Ukisema its Okay for single mother hood kuexist u might as well say Yes to drugs, homosexuality, AIDS, STDs, crimes like Panyaroad, etc.