Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

No, kuna material hapo nilikuwa naweka in relation to the comment nilikuwa naijibu. By the way mtu kuwa mzito kusoma mambo mengi can say alot about how upo serious kwenye eneo la kujifunza.

Ni aidha nimeongea vitu vingi kwa wakati m'moja ubongo wako umeweka room ndogo sana ya kujifunza na kupokea vitu vipya, au nimeongea contents ambazo zinakuletea "Intrapersonal conflict" baada ya kuzisoma na zikachallenge your beliefs.

Sorry for the red pill [emoji381] effect.
Vizuri sana mkuu 🙏
 
Too much...umeeleweka mbona.Ninachojua mwanaume asili yake huwa haongei sana mkuu
Najua wanaume hatutakiwi kuongea sana ila wanawake mnatubadili. Maana wanaume wasioongea sana wanatakiwa kuwa wanapiga wanawake maana ndio namna yao ya kuonyesha hisia zao wanapokasirishwa na jambo.

Tukifanya hivyo mnasema wanaume ni abusive. [emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake sijui mpoje.
 
Najua wanaume hatutakiwi kuongea sana ila wanawake mnatubadili. Maana wanaume wasioongea sana wanatakiwa kuwa wanapiga wanawake maana ndio namna yao ya kuonyesha hisia zao wanapokasirishwa na jambo.

Tukifanya hivyo mnasema wanaume ni abusive. [emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake sijui mpoje.
Sawa mkuu..shukrani
 
Wanaodiss single moms mostly wamelelewa na single parent.
But i think its good. Kufight your own weakness. Hii nature ya mwanamke kulea watoto mwenyewe ni kansa kubwa sana katika jamii na madhara yake ni ngumu sana kuyareverse.

Natamani sana kushare nawe research papers za tafiti za kijamii katika familia za watu weusi especially kule Marekani ili uone.

Wataalamu wanakwambia viumbe hufanana tabia hata wakiwa located katika different geographical locations. Watu weusi wakiwa subjected katika mazingira ya kufanana wanabahave the same.

Tazama jamii ya mwafrika marekani na ya mwafrika South Africa, sababu ya kuishi na Mzungu wamejikuta wanaathiriwa na kuwa na tabia zile zile za kufanana kimatokeo, uhalifu, matukio ya mauwaji, ubakaji, molestations, homosexuality, obesity, Single motherhood, Dead beat fathers,drugs, na number kubwa ya jailed males.

Single motherhood ndio one of the source au breeding ground ya hizi social chaos zingine nimekulistia hapo juu.

Ukisema its Okay for single mother hood kuexist u might as well say Yes to drugs, homosexuality, AIDS, STDs, crimes like Panyaroad, etc.
 
Wanajizima data,
U single mum sio mpya duniani upo tangu kuumbwa kwa misingi ya Dunia,unakumbuka Hajir alivyozaa na Ibrahimu na baadae Sara alivyopata mimba,Hajir na mwanae wakaondolewa pale kwenda nchi za uarabuni na mwanae Ishmael,Sasa yule ndio president wa single mum's....siku hizo wanajifanya wanachambaa hawana lolote...pambania Kijana wako ukute ni future president
Msamiati Single mother umeanza miaka ya 1960s,tena umeanzia Marekani katika jamii ya mtu mweusi.

Ni sawa na kusema amapiano ilikuwapo Tanzania kabla ya uhuru, hivi ni kweli?! [emoji23][emoji23]
 
Kiukweli naonaga uvivu sana,kuongelea issue ya usingle mama.....naonaga Kama watu Wana exaggerate sana,Kuna watu wengi tu wamelelewa na mama zao bila uwepo wa baba either Kwa wazazi kutengana au Kwa baba kufariki,lakini Leo ni watu Bora kabisa kwenye jamii zetu...Mama ni mlezi,mama ni daktari,ni mpishi,ni dobi,ni mwalimu,ni hakimu ana mengii sana
Hapo sawa....

Mi mwenyewe nipo na mama tu, miaka mingi sasa, bado sijasoma changamoto yeyote....

Hii mitazamo sijui watu wanaitoa wapi...
 
Tatizo single moms wanaendelea kuongezeka kea Kasi ya 4G.Wanawake kuingia kichwa kichwa kwenye mahusiano bila ya kutumia hata akili za kuzaliwa ndo madhara Yake haya.

Tamaa ndo kitu kikubwa kinachowaponza wadada wengi.
 
Hapo sawa....

Mi mwenyewe nipo na mama tu, miaka mingi sasa, bado sijasoma changamoto yeyote....

Hii mitazamo sijui watu wanaitoa wapi...
😍😍😍😍😍 U made me cry aisee...msalimu sana mama.Just tell her I say much love to her💕👊
 
Back
Top Bottom