Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Nyuzi kama izi hunifanya roho iniume....
Mdogo angu anae nifuata ni alumin wa havard,
Alikuaga na io ndoto Mimi nili muona mwendawazimu.....sure UNAWEZA KUA YEYOTE kikubwa usikate Tamaa pambania ndoto........
 
Pole sana mkuu
 
. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa!.


WEWE NI MWANAMKE MWENYE AKILI SANA KAMA NI KWELI UPO HIVI.
Naomba nikupende kwa kipengele hicho.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Maybe mkiwa na mijadala hivi itawashape. Awali nilikuwa na mtazamo fair kuhusu SM, but after experience, mtazamo ulinibadilika kuwa wa mashaka, ingawa haujafika hasi.
Kweli huu ni mjadala mpana sana. Sababu kuna binadamu wana kusudi sana.

Hata hivyo mwanamke kulea mtoto peke yake automatically anahitaji maua yake.

Wanawake waliolea watoto pamoja na waume zao tunawapa maua yao daily kwa kuwaimbia nani kama mama, sasa SM’s ni zaidi ya mama.
 
Chanzo cha usingo maza....baadhi yenu mna mdomo sana,
Ili mtu shikishe adabu mnashika mimba na hapo kale ka akili cha hovuo utujia,
 
You have hit the nail on the head πŸ’ͺπŸ’ͺ.


Singlemom wasokua na Uchumi huru, ndio wanaonyanyasika.



That's why, Mwanamke aliyeolewa mwenye kazi, akiona mwanaume anazenguaa, anatomba Talaka !!.
Boss hilo neno unalitumia sana? Keybord yako imelizoea πŸ˜€
 
Hongera sana dear Lea mwanao
ila kulea ni kugumu sana hasa Kwa mzazi mmoja umepambana mno na Mungu atakupa mtu sahihi
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Ni Kweli kabisa umefafanua vizuri waache ushabiki wengine walifiwa na waumezao wengine waliolewa wakaachwa
 
Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Inawezekana wewe mwenyewe umelelewa na Mama yako tu na Baba yako humjui. Jitambue na Heshimu Wanawake Kijana 😑😑😑
 
Ni kweli aisee
 
Mwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia
Naogopa kumjengea chuki moyoni....hapaswi kukua na maumivu moyoni niliyosababisha mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…