Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,236
- 1,368
Single father tena?
Kuna single father wengi tu wa kuwaoa, zaidi ya hapo ni kuchakatwa na kuachwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna single father wengi tu wa kuwaoa, zaidi ya hapo ni kuchakatwa na kuachwa.
🤓Kwani hao masinlge mama wanaoongezeka kila siku ni watoto wetu!!!
Wanaitoa yoteee au sio 😀Mkipata wanaume huwa sio wachoyo wa mbususu tunawapenda sana
Kabisa wanakupea yote yani 😀Wanaitoa yoteee au sio 😀
Pole sana mkuuKatika majaribio yangu yaliyowahi kufeli vibaya ni ya kutaka kuoa single maza. Yaani pata picha jaribio la kumtaka kumpindua Kagame au Omar Bongo lifeli halafu ukamatwe..![emoji24]
Single mama wa kwanza nilimkuta kabisa hana mtu na tukaanza mahusiano. Ila ndo wakati penzi linaanza kunoga mara single mama kapata kazi TRA makao makuu pesa kibao. Ex wake ghafla akajitokeza na mimi nikapigwa chini bila huruma. Nakumbuka nilipewa onyo nisimfuatilie. Nikakubaliana na hali na ku-move on.
Single mama wa pili ni binti niliyempenda sana kabla ya kuwa single mama ila akawa ananikataa. Naye nilimkuta kawa single mama na kiuchumi hakuwa poa. Nikasema nijaribu ila kwa tahadhari. Kilichofanya nimkimbie kimyakimya ni kuona ananibebesha sana majukumu ya mtoto wake utadhani mimi ni baba wa damu. Nikajitoa.
Baada ya hapo nikakata shauri la kutojihusisha na single mama tena kwa sababu pia hata watu wangu wengi waliowahi kuoa single mama hawajaweza kuishi nao hadi mwisho. Wengi wameachana. Ninashauri kina dada MSIFANYE NGONO ZEMBE KABLA YA NDOA. Mwambie jamaa avae condom au wekeza hela zako kwenye P2 ili dunia iendelee kuwa sehemu salama kuishi.
Asante bossPole sana mkuu
Kweli huu ni mjadala mpana sana. Sababu kuna binadamu wana kusudi sana.Maybe mkiwa na mijadala hivi itawashape. Awali nilikuwa na mtazamo fair kuhusu SM, but after experience, mtazamo ulinibadilika kuwa wa mashaka, ingawa haujafika hasi.
Boss hilo neno unalitumia sana? Keybord yako imelizoea 😀You have hit the nail on the head 💪💪.
Singlemom wasokua na Uchumi huru, ndio wanaonyanyasika.
That's why, Mwanamke aliyeolewa mwenye kazi, akiona mwanaume anazenguaa, anatomba Talaka !!.
📌📌📌Binti/msichana liogope kundi hili.
1 F*ckboy.
2.Playboy.
3.Mume wa mtu .
Hilo ndilo group linalo ongoza kutengeneza single mother, moja na mbili hawa kazi yao kutengeneza mwonekano, kushinda gym na mwendo wa kuulamba ila hawana time na mimba. Namba tatu hao wana hela hapo ndipo dada zangu wanapo potezwa.
Kundi hili.
Church boy /Kijana wapole hawa ndio wa kukomaa nao na mara nyingi wako real sana na wapo tayari kubeba misalaba yao kama baba,tatizo wanawake wengi zaidi ya 70% huwaga hamuwapi nafasi,mnawaona wamepooza,mara hawajui kuvaa nk.
NB
Dada yangu acha unyonge, so always kuna second chance ukiipata husiipaishe,maana wengi wenu kwa wababa mliozaa nao beki hazikabi.
Ni Kweli kabisa umefafanua vizuri waache ushabiki wengine walifiwa na waumezao wengine waliolewa wakaachwaAshakhum si Matusi, hata mama yako, shangazi yako, Dada yako au Mkeo anaweza kuwa Single Mom
Usihukumu na kutukana Binadamu wenzio
Mtu anakuwa single mom kwa kufiwa na Mumewe au kwa kuachwa bila sababu halafu analea mtoto peke yake mpaka anakuja kuwa Daktari, Mwanasheria, Mwalimu, Mhandisi n.k
Hili jambo wengi huwa wanajudge kishabiki lakini hata hapa wapo waliolelewa na Single mothers
Ni ushauri tu
Inawezekana wewe mwenyewe umelelewa na Mama yako tu na Baba yako humjui. Jitambue na Heshimu Wanawake Kijana 😡😡😡Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Mwanaharamu Kama imekuuma chomoa vaa uende...Inawezekana wewe mwenyewe umelelewa na Mama yako tu na Baba yako humjui. Jitambue na Heshimu Wanawake Kijana 😡😡😡
Ii uheshimike ni lazima Uheshimu. Hakuna atakayekuunga mkono kwa kauli yako ya kijinga uliyoiandika hapaMwanaharamu Kama imekuuma chomoa vaa uende...
Ni kweli aiseeSingle mothers wengine ni hawajawa hivyo kama ulivyokuwa wewe. Wengine wamekuwa hivyo kwa ujinga wao wenyewe.
Kuna mtu ni single at the same time bado ni wife material na kuna wengine ni hopeless na walikuwa hivyo hata kabla ya kuzalishwa.
Ukiwa single mom halafu ukawa KILAZA utapata tabu sana aisee.
Naogopa kumjengea chuki moyoni....hapaswi kukua na maumivu moyoni niliyosababisha mimiMwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia