Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

At least .... ubarikiwe sana
 
Kua singo mama sio ulemavu.


Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa, hata kuoa ,tunaoa, na Mahari tunatoa Kwa singo mama.


Tatizo mnawapenda wa dasalama na mikoa mingine, hao ni waoga ,wanaogopa sana !!.




Kurudi kwenye Mada !!.


Kuzaa ni kielelezo tosha Cha Uwezo wako wa kuendeleza kizazi.




Usiumie, Kuna vyanamke vimeshatoa mimba lukuki yaan ukiviangalia tu usoni, unaona kabisa jina la siri limeandikwa kwenye paji lake la uso "Babeli Mkuu, Mama wa marehemu" !.


Kwa Nyie mlobena mimba, mkazaa,. Hongereni, Leeni watoto wenu, Wakiume awe na uanaume, wakike awe na uanamke.



Hapo kwenye kupasha kiporo Sasa, Nadhan kama mwanaume alikataa mimba, ukipasha naye kiporo unakua kweli ni mjinga, ila Sasa nyie Wanawake hamshindwi kitu, Huwa mnapasha tu, jamaa akianza kujirudi Kwa vinguonguo .

Lkn kama hajakataa kulea analea, Hela anatoa, sio lazima akuoe ,pengine umezaa na mwanaume kama Mimi !!. Wee muhim furahia mtoto ana bima ya Afya, anasoma shule Bora, anakula na kuvaa na kupata mahitaji yake, naaaaa, Kwa sisi wengine, Tukituma Hela Kwa Mzazi mwenzetu, Huwa tunaweka na kijihela Cha nyongeza Kwa sababu tunajua na Mama yake naye anataka kuvaa vizur, apendeze ,n.k!!.


Msife mioyo wapendwa !!!
 
Uzi wa single mom ila comment namba Moja ni ya mwanaume
 
Unawapendaje watu usiowafahamu? Politics hadi kwa masuala ya single moms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…