Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maisha yalipofikia, hakuna namname wanaogopa ke, ke wanaogopa me....
tutaishi hivi mpaka lini??
At least .... ubarikiwe sanaBy the way hakuna mwanamke anaye wish kuwa single mama ila huwa inatokea sometimes na hao wanawake walikuwa na option ya kufanya abortion pia ila waliamua kutunza hicho kiumbe ambacho hakina hatia kifurahie maisha ambayo amezawadiwa na Mwenyezi Mungu. Tuache kuwasema vibaya single mamas wanapitia mengi sana
Katika sehemu singomaza nawakubali ni huo uamuzi wenu wa kutoua kiumbe kisicho na hatiaIvo mkuu
mnaokotanaga wapi! anyway dunia duaraSana mkuu
Uzi wa single mom ila comment namba Moja ni ya mwanaumeMwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!
We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨
NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana😍😘
Duhh!!! Jitahidi kuwa na akiba ya maneno mkuu, usiyamalize yote huenda yakakusaidia hapo mbeleniSingo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Tunaowapenda nyinyi na watoto wenu hata hao baba watoto zenu tunawapenda🤣🤣🤣Utawaweza wanaume,na msivyotupenda singlemoms
Unawapendaje watu usiowafahamu? Politics hadi kwa masuala ya single momsMwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!
We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨
NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana😍😘
Mkipata wanaume huwa sio wachoyo wa mbususu tunawapenda sanaNa maisha yanaendelea mkuu
msifanye hivo... subirieni basi hadi october baridi ni kali😬hakuna namna
punguza mihemkoSingo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili