Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

Top Gun

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
49
Reaction score
171
Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia.

Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁

Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
 
Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia.

Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Si useme tu unataka ugali wa bure ...eti sina hela
 
Huu sio uungwana.
Mnaowaita singo maza ni dada zetu na wadogo zetu sisi wanaume.

Pili hizo mimba tuliwatia sisi wanaume, na wengine tuliwaaacha bila sababu.

Itoshe sasa hii mijadala ya kipumbavu.

Moderator
Maxence Melo
Kama kipindi cha nyuma mlivyozuia baadhi ya mijadala liangalieni na hili.

Kuna kundi linanyanyasika humu na ni member wenu
 
Mbona kawapongeza tu mkuu? Kwamba wasitajwe kabisa?
 
Waendesha mijadala ya aina hii si ajabu ni 1.watoto wa nje ya ndoa wamepata malezi ya baba. Kwa kubip au hawakupata kabisa

2.Ni watoto wa single mama completely kwa hivo wana hasira kwa experience zao walizopitia ya kukosa malezi ya baba.

3. Wamewazalisha wadada tofauti tofauti na hawahudumii watoto wao.

4. Dada/mama zao wako katika makundi yote hapo huu.
NIHUZUNI. .."Wahurumieni wanaoteseka "
 
Humu wengine hata baba zao hawawajui

Wengine wamezaliwa na kulelewa na single maza.....

Mama zao walipambana kuhakikisha hawalali njaa , wala hakosi kwenda shule, mama zao walikanyaga miiba na moto ili wao wapate kuishi!

Pengine single maza walikosea kwa kusudi, ama bahati mbaya ama kivyovyote lakini watabaki kuwa mama wa mtu, alikuwa mke wa fulani, ama mkwe wa mtu

sijalelewa na single parent lakini naheshimu jitahada na single maza, waheshimiwe, wapendwe na kuthaminiwa!

Kibaya tuu wasiwajaze watoto sumu juu ya baba zao hasa ndoa zilizovunjika ama kuzalishwa na kukimbiwa mwache mtoto aamue mwenyw akikua atajua uhalisia ni upi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…