Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanaaTuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia.
Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁
Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
Au nije kwako😁😁Shughuli mingi 😀😀
Watoto walivo watamu yaani sio shida zetusingle mother. single mother hata mtuandame vipi sisi wala hatujali ndo kwanza tunasonga ugali mkubwa na mlenda tunakula na watoto wetu. tunashushia na maji ya dawasa. kikubwa Mungu anatujalia riziki na afya kila iitwapo leo. hamuzi kutuua hivyo tuvumilieni tuendelee kuwakera make hata pumzi tunayoivuta mngeweza mgetuzimia kabisa. poleni kwa tunaowakwaza. binafsi najivunia kuwa maama.
Eti uache kuzaa kisa mwanaume.wee watoto ni kila kitu bwana weeI like the spirit💪
Hivi ndivyo mwanamke halisi hua, wakikutupia mawe unayaokota unajengea ghorofa
kabisa.I like the spirit💪
Hivi ndivyo mwanamke halisi hua, wakikutupia mawe unayaokota unajengea ghorofa
sisi kwetu watoto wetu ndio furaha yetu.Watoto walivo watamu yaani sio shida zetu
Na fahari yetusisi kwetu watoto wetu ndio furaha yetu.
Sasa kama huna hela si ndio hapo shida yao inapoanzia....?Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia.
Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁
Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
We nae peleka unafki wako huko unajifanya unawasemea huku unawasimangaTuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia.
Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁
Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
Samahani mkuu Sisi no 2 tunaomba wala usijichoshe kuleta Uzi wowote kutuhusu labda hao wengineHii ya 2 ndio haswaaa yenyewe, kuna siku nitaleta uzi wa kisaikolojia juu ya haya makundi mawili
1. Wanaowasema Single Moms
2. Wanaokataa Ndoa
Haya makundi mawili ni ya kuhurumiwa sana, ni makundi yaliyokosa malezi bora ya wazazi wote wawili, ni makundi yaliyopitia trauma kubwa utotoni.