Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

Waendesha mijadala ya aina hii si ajabu ni 1.watoto wa nje ya ndoa wamepata malezi ya baba. Kwa kubip au hawakupata kabisa

2.Ni watoto wa single mama completely kwa hivo wana hasira kwa experience zao walizopitia ya kukosa malezi ya baba.

3. Wamewazalisha wadada tofauti tofauti na hawahudumii watoto wao.

4. Dada/mama zao wako katika makundi yote hapo huu.
NIHUZUNI. .."Wahurumieni wanaoteseka "
Wajinga sana
 
Hii ya 2 ndio haswaaa yenyewe, kuna siku nitaleta uzi wa kisaikolojia juu ya haya makundi mawili
1. Wanaowasema Single Moms
2. Wanaokataa Ndoa

Haya makundi mawili ni ya kuhurumiwa sana, ni makundi yaliyokosa malezi bora ya wazazi wote wawili, ni makundi yaliyopitia trauma kubwa utotoni.
 
Namba mbili tutoe hapo tafadhali 😊
 
Safi sana mkuu, na hivi ndio namna sahihi ya kuishi na single mama. Unamsifia, unatengea kibunda, unakula mbususu yake (hakikisha unaipiga haswa), unapita kule. Wewe unahudhulia vikao vizuri na husinzii kwenye vikao, safi sana.
 
Wakiitwa wanaume unataka?
 
single mother. single mother hata mtuandame vipi sisi wala hatujali ndo kwanza tunasonga ugali mkubwa na mlenda tunakula na watoto wetu. tunashushia na maji ya dawasa. kikubwa Mungu anatujalia riziki na afya kila iitwapo leo. hamuzi kutuua hivyo tuvumilieni tuendelee kuwakera make hata pumzi tunayoivuta mngeweza mgetuzimia kabisa. poleni kwa tunaowakwaza. binafsi najivunia kuwa maama.
 
I like the spirit💪
Hivi ndivyo mwanamke halisi hua, wakikutupia mawe unayaokota unajengea ghorofa
 
Haiombwi hivyo

Kuna single parents wamekuwa hivyo kwa makosa yao wenyewe

Ni kwamba mada nyingi za single parents ni za kivivu, hazina ulazima kujadiliwa
 
Back
Top Bottom