Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

Safi sana mkuu, na hivi ndio namna sahihi ya kuishi na single mama. Unamsifia, unatengea kibunda, unakula mbususu yake (hakikisha unaipiga haswa), unapita kule. Wewe unahudhulia vikao vizuri na husinzii kwenye vikao, safi sana.
🀣🀣🀣🀣
 
Kwani kuna nini wakuu, mbona kelele hadi huku Magwepande nilipojificha!!
 
Noma sanaa
 
Watoto walivo watamu yaani sio shida zetu
 
Sasa kama huna hela si ndio hapo shida yao inapoanzia....?
 
We nae peleka unafki wako huko unajifanya unawasemea huku unawasimanga
 
Samahani mkuu Sisi no 2 tunaomba wala usijichoshe kuleta Uzi wowote kutuhusu labda hao wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…