Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,380
- 2,576
Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother.
Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake.
Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki.
Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha! Nimechunguza mpaka nimwijua hiyo daycare kwa mwezi wanachaji 25000/=
Nilivyoenda sikumshirikisha.
Baada ya siku mbili nikamtafuta kumuuliza hapo kituoni mtoto aliko ada bei gani akajibu 100k ! Na kumbe si kweli.
Inshort huyu single mother anafanya juhudi nyingi sana kutaka kunitenganisha na mtoto.
Sasa hivi nao nana na mtoto kituoni mlezi wa kituo ndiye ananipa taarifa za mtoto.
Mtoto hajenda hapo kituoni siku mbili (kumbuka nimeanza kulipa ada) mwalimu nimemuulizia maendeleo ya mtoto akasema hajaja siku mbili shuleni anaumwa. (Mama yake hanishirikishi)
Nimempigia simu huyo mwanamke anajibu shirt!
Katika situation kama hii itakuwaje nijenge mahusiano na mtoto wangu? Mtoto ni wakike ana miaka minne