Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

Huwezi ukajiita baba halafu unamhudumia mtoto mtoto wako akiwa analelewa na single mother. Vijana mkishaona mmewazalisha hao wanawake wapumbavu basi hakikisha unamchukua mtoto wako uishi naye. Make sure unamchukua mtoto kwa nguvu kwa lazima na hata kwa shari ikiwezekana.
Kwa situation hiyo una kila sababu ya kumchukua mtoto wako, tatizo lenu mna kwepa majukumu ya kulea kwa kisingizio kwamba mtoto wa chini ya miaka 7 lazima akae na mama yake 💩 hii sheria ya kipumbavu ilitungwa na masingo maza wapumbavu ambao wanajua ktk kipindi hiko watakuwa wanakuchuna pesa kwa kigezo cha kumhudumia mtoto.
Hayo madawati ya kijinsia na ustawi wa jamii, wakikuita mwanaume ukienda unawaogopa au unajifanya mstarabu wanakupanda kichwani watakukandamiza kwasababu nyuma ya pazia watagawana pesa zako za kumhudumia mtoto na mwanamke wako 💩💩
Wanaume acheni upumbavu wakuacha watoto wenu walelewe na masingo maza, mwanamke anapokuwa single mother tambua huyo si mwanamke bali ni danga kila mwanaume anakojoa hapo, mwisho wa siku mtoto wako ataharibikiwa kimalezi.

Singo maza, njoeni kwa foleni mmoja mmoja 💩💩💩
 
Nimempigia simu huyo mwanamke anajibu shirt!

Katika situation kama hii itakuwaje nijenge mahusiano na mtoto wangu? Mtoto ni wakike ana miaka minne
Pole sana mkuu nime-feel the way unamwaga machozi yaan umelia sana ila jikaze ndio uanamume huo lakini si una uhakika kabisa kua ni wewe ndio uliempiga mimba? Km uhakika unao sasa unashindwaje kwenda kum-face mkaongea sababu huyo hata km ana mwanaume mwingine huyo ni mke wenu yaan kule ana mume na wewe ni mumewe maana una mtoto nae kwa hio hapo cha kufanya wewe nenda mfuate mkae chini mzungumze km familia kuhusu hatima ya mtoto wenu, kua mwanaume nenda alipo au hata alipo haujui yupo wapi au unaogopa kuongea nae?

Mtoto ni wa kwenu wote wawili kumbuka hakujitia mimba mwenyewe wewe ndio uliemtia mimba inamaana ulishiriki kumtia mimba mfuate muweke chini muongee, halafu hivi hao wanawake wa hivyo hua mnawatoaga wapi? Ningekua mimi ndio wewe nadhani angekua anasimulia story nyingine muda huu
 
Huwezi ukajiita baba halafu unamhudumia mtoto mtoto wako akiwa analelewa na single mother. Vijana mkishaona mmewazalisha hao wanawake wapumbavu basi hakikisha unamchukua mtoto wako uishi naye. Make sure unamchukua mtoto kwa nguvu kwa lazima na hata kwa shari ikiwezekana.
Kwa situation hiyo una kila sababu ya kumchukua mtoto wako, tatizo lenu mna kwepa majukumu ya kulea kwa kisingizio kwamba mtoto wa chini ya miaka 7 lazima akae na mama yake 💩 hii sheria ya kipumbavu ilitungwa na masingo maza wapumbavu ambao wanajua ktk kipindi hiko watakuwa wanakuchuna pesa kwa kigezo cha kumhudumia mtoto.
Hayo madawati ya kijinsia na ustawi wa jamii, wakikuita mwanaume ukienda unawaogopa au unajifanya mstarabu wanakupanda kichwani watakukandamiza kwasababu nyuma ya pazia watagawana pesa zako za kumhudumia mtoto na mwanamke wako 💩💩
Wanaume acheni upumbavu wakuacha watoto wenu walelewe na masingo maza, mwanamke anapokuwa single mother tambua huyo si mwanamke bali ni danga kila mwanaume anakojoa hapo, mwisho wa siku mtoto wako ataharibikiwa kimalezi.

Singo maza, njoeni kwa foleni mmoja mmoja 💩💩💩
Naona uzi unanuka mavi mavi tu
 
Huenda sio damu yako. Kama vipi nenda ustawi wa jamii ili uweke mambo sawa. Una haki ya kumuona mwanao ili umpe haki yake kama elimu.
Oya huko sio kwa kwenda Mwanaume ogopa sana hata dawati la kijinsia ukienda mwanaume unaenda kukandwa wanalalia upande wa Ke wewe Me unaambiwa tu nini cha kufanya labda uende Mahakamani ila n
huko nako mtoto ndio kwaanza ana miaka 4 bado sana mpaka avuke miaka 7 aingie 8 na hapo upeleke sababu zenye mashiko sio hio ya mtoto shule hajaenda siku 2 labda ukienda kusema mama yake kawa chizi kichaa mwendawazimu karukwa na akili hawezi kumuhudumia mtoto km mama na akipimwa akili kweli ikibaini ni kichaa unapewa mtoto ukamlee ili kuepusha mabalaa ila mama sio chizi sio kichaa ana akili timamu maamuzi unaambiwa toa matumizi na unaweza umuone au usimuone mtoto mpaka avuke miaka 7 yeye ndio mtoto ataamua anataka kwenda kumuona Baba yake au la baada ya hapo una haki ya kuchukua mtoto wako akisema yeye anataka kuishi na wewe sio na mama yake mtoto ndie anaeamua sio nyinyi wazazi, next
 
Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother.

Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake.

Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki.

Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha! Nimechunguza mpaka nimwijua hiyo daycare kwa mwezi wanachaji 25000/=
Nilivyoenda sikumshirikisha.

Baada ya siku mbili nikamtafuta kumuuliza hapo kituoni mtoto aliko ada bei gani akajibu 100k ! Na kumbe si kweli.

Inshort huyu single mother anafanya juhudi nyingi sana kutaka kunitenganisha na mtoto.

Sasa hivi nao nana na mtoto kituoni mlezi wa kituo ndiye ananipa taarifa za mtoto.

Mtoto hajenda hapo kituoni siku mbili (kumbuka nimeanza kulipa ada) mwalimu nimemuulizia maendeleo ya mtoto akasema hajaja siku mbili shuleni anaumwa. (Mama yake hanishirikishi)

Nimempigia simu huyo mwanamke anajibu shirt!

Katika situation kama hii itakuwaje nijenge mahusiano na mtoto wangu? Mtoto ni wakike ana miaka minne
Basi mnafikiriaga ukiacha kumhudumia mtoto unamkomoa mama yake, kumbe unajaribu kujitenga na mtoto wako mwenyewe, haya huo ujeuri wa mama yake unakujaje bila wewe kusababisha? Mnaonaga vibanzi vya machoni pa wenzenu mnasahau maboriti yenu. Kuna story ndefu imejificha hapo upande wa pili
 
Huwezi ukajiita baba halafu unamhudumia mtoto mtoto wako akiwa analelewa na single mother. Vijana mkishaona mmewazalisha hao wanawake wapumbavu basi hakikisha unamchukua mtoto wako uishi naye. Make sure unamchukua mtoto kwa nguvu kwa lazima na hata kwa shari ikiwezekana.
Kwa situation hiyo una kila sababu ya kumchukua mtoto wako, tatizo lenu mna kwepa majukumu ya kulea kwa kisingizio kwamba mtoto wa chini ya miaka 7 lazima akae na mama yake 💩 hii sheria ya kipumbavu ilitungwa na masingo maza wapumbavu ambao wanajua ktk kipindi hiko watakuwa wanakuchuna pesa kwa kigezo cha kumhudumia mtoto.
Hayo madawati ya kijinsia na ustawi wa jamii, wakikuita mwanaume ukienda unawaogopa au unajifanya mstarabu wanakupanda kichwani watakukandamiza kwasababu nyuma ya pazia watagawana pesa zako za kumhudumia mtoto na mwanamke wako 💩💩
Wanaume acheni upumbavu wakuacha watoto wenu walelewe na masingo maza, mwanamke anapokuwa single mother tambua huyo si mwanamke bali ni danga kila mwanaume anakojoa hapo, mwisho wa siku mtoto wako ataharibikiwa kimalezi.

Singo maza, njoeni kwa foleni mmoja mmoja 💩💩💩
Yaani umeandika mambo mengi kwa kufoka! Haya mtoto bado ni mdogo anahitaji malezi ya karibu hasa ya mama, mwenzio hajasema kama anaweza kulea mtoto wa umri huo, labda ana mke ni umalaya wake ulimpeleka huko nje mtoto akapatikana analea mtoto kama biashara ya bangi vile (kwa kificho) atambeba atampeleka wapi, hakuna sheria inasema mtoto atalelewa na bibi, shangazi wala mjomba kama mama na baba wapo mmoja atawajibika kulea, haya huyu akilazimisha kumbeba anaenda kumleaje kama ni mume wa mtu na familia yake nyingine? Atalazimisha mwanamke mwingine kulea mtoto ilihali mama wa mtoto yupo? Mwishowe mtoto achomwe maji ya moto bure kisa ubabe wa kipumbavu...mpaka mtoa uzi anakuja kuomba ushauri kuna mambo mengi anayo ameshindwa tu kuyaweka yote hapa
 
Basi mnafikiriaga ukiacha kumhudumia mtoto unamkomoa mama yake, kumbe unajaribu kujitenga na mtoto wako mwenyewe, haya huo ujeuri wa mama yake unakujaje bila wewe kusababisha? Mnaonaga vibanzi vya machoni pa wenzenu mnasahau maboriti yenu. Kuna story ndefu imejificha hapo upande wa pili
Anasema kwamba shulini ada ni sh. 25k/mwezi wakati huo huo mama anasema kuwa ada ni sh. 100,000/-. ........ktk mazingira hayo baba hatopata ushirikiano.
 
Huyo single mother amesha kwambia ada ni laki kwa mwezi,kwa nini umekwenda shuleni kuchunguza mpaka ukajua ni 25000/?,unazidi kumkosea huyo single mother LAGHAI unambana sana 😀😀😀, how are you sure ya kwamba mtoto ni WAKO?
Leka meku,kurhe mana pfo na iyoe , mka cho naisuko lowii
 
Mwanamke umemzalisha wewe halafu proudly kabisa unamwita single mother? Wanaume wa siku hizi kuna namna mjitafakari.
Pili huyo mlezi wa kituo ana makosa mno kuna siku kwa kiherehere chake atakuja kusababisha mtoto atekwe hana akili na ni mpumbavu kabisa.

Maswala ya familia yeye hayamuhusu na hakupaswa kuingilia. Day care gani ambayo mtu anakuja anajitambulisha ni baba wa mtoto nae anakubali kutoa taarifa?

Sio Day care tuu bali sasa hivi hata shule za primary za private kama mhusika hajaandikwa kwenye form ya mtoto au hajapelekwa na mzazi hapo shule basi hasogezi pua kumuulizia mtoto bali hata kupata taarifa zake.

Mimi cha kukushauri mwambie huyo mlezi wa kituo ajitafakari upya juu ya privacy na ulinzi wa watoto anaowalea. Nasema hvyo sababu ilishawahi tokea scenario kama yenu shule ikampa baba mtoto (boarding)aende nae mjini akamnunulie mahitaji bila kumwambia mama kumbe baba alikuwa anataka kulipiza kisasi kwa mzazi mwenza akaondoka nae hakumrudisha baada ya siku kadhaa kupita uliokotwa mwili wa mtoto ameuawa kwa kuchinjwa.
 
Mwanamke hawezi kukufanyia hivi kama kweli wewe ni baba wa mtoto, pengine ulizingua kwenye mimba au ulimkana, leo mtoto kafikisha miaka minne unajifanya kumjua jua mtoto, upendo unajengwa toka mwanzo inawezekana kuna baba wa mtoto halali au wewe ni halali lakini ulikuwa falla kwenye matunzo ya mtoto,mama mtoto hataki mazoea na wewe inawezekana hata mtoto kahamishwa shule na ukizingua zaidi hutomwona huyo mtoto, kumbuka mama ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto, kaa pembeni fanya maisha yako mengine kama unampenda baby mama mwelekeze muishi pamoja.
 
Yaani umeandika mambo mengi kwa kufoka! Haya mtoto bado ni mdogo anahitaji malezi ya karibu hasa ya mama, mwenzio hajasema kama anaweza kulea mtoto wa umri huo, labda ana mke ni umalaya wake ulimpeleka huko nje mtoto akapatikana analea mtoto kama biashara ya bangi vile (kwa kificho) atambeba atampeleka wapi, hakuna sheria inasema mtoto atalelewa na bibi, shangazi wala mjomba kama mama na baba wapo mmoja atawajibika kulea, haya huyu akilazimisha kumbeba anaenda kumleaje kama ni mume wa mtu na familia yake nyingine? Atalazimisha mwanamke mwingine kulea mtoto ilihali mama wa mtoto yupo? Mwishowe mtoto achomwe maji ya moto bure kisa ubabe wa kipumbavu...mpaka mtoa uzi anakuja kuomba ushauri kuna mambo mengi anayo ameshindwa tu kuyaweka yote hapa
Hahahahaha yaani nyie wanawake akili zenu mnafikilia leo tu, kwahiyo umekaa hapo ndani kwa mumeo ukidhani hawezi kuleta watoto wa nje kwasababu tu eti anakuogopa wewe ambaye wewe mwenyew anakulisha anakuvisha kama watoto wake wengine na unakaa bure kama watoto wake hapo nyumban.
Ni sikuhizi tu mnapata wanaume wapumbavu wanazalisha nje halafu wanaacha watoto walelewe na masingo maza wapumbavu, badala ya kuchukua watoto kuwalea wenyewe.
Halafu usikae ukajidanganya eti haiwezekan mwanaume akamchukua mtoto akampeleka kulelewa na mtu mwingine au ndugu zake, kama huamini fanya upumbavu halafu uone hao ustawi wa jamii na madawati yenu wanavyo kucheka utakapo enda kulalamika mtoto kachukuliwa na shangaz yake mumeo.
 
Una uhakika huyo mtoto ni wako!? Usikute ana baba yake !

Kama wanaume tunapitia mengi sana
 
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
 
Ukampigia simu akakujibu shirt😂😂

Hii ni chai kama zilivyo chai nyingine. Day care ya kijiji cha wapi wanatoza 25K?
 
Back
Top Bottom