Huenda sio damu yako. Kama vipi nenda ustawi wa jamii ili uweke mambo sawa. Una haki ya kumuona mwanao ili umpe haki yake kama elimu.Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother.
Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake.
Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki.
Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha! Nimechunguza mpaka nimwijua hiyo daycare kwa mwezi wanachaji 25000/=
Nilivyoenda sikumshirikisha.
Baada ya siku mbili nikamtafuta kumuuliza hapo kituoni mtoto aliko ada bei gani akajibu 100k ! Na kumbe si kweli.
Inshort huyu single mother anafanya juhudi nyingi sana kutaka kunitenganisha na mtoto.
Sasa hivi nao nana na mtoto kituoni mlezi wa kituo ndiye ananipa taarifa za mtoto.
Mtoto hajenda hapo kituoni siku mbili (kumbuka nimeanza kulipa ada) mwalimu nimemuulizia maendeleo ya mtoto akasema hajaja siku mbili shuleni anaumwa. (Mama yake hanishirikishi)
Nimempigia simu huyo mwanamke anajibu shirt!
Katika situation kama hii itakuwaje nijenge mahusiano na mtoto wangu? Mtoto ni wakike ana miaka minne
Asante. Changamoto iliyopo ni communication. Mfano mtoto ameumwa hamna taarifa kutoka kwake. Umepata taarifa kutoka sehemu nyingine umepiga umempigia simu amakujibu hamna shida then mabishano ya kipuuzi!Endelea kuwa baba, hata kama mazingira na mawasiliano na mama wa mtoto ni magumu , hakikisha kama baba unatoa huduma zote kwa mwanao.
Namlipa ada na yeye ndo ananipatia-ga taarifa za mtoto za kielemu kumbuka hapo kituoni ndo mahali pia nimeanza kuonana na mtoto ili anijiue kama babaHuyo mlezi wa kituo anafanya makosa kukupa taarifa za mtoto, anyway amejuaje ww ndie baba mtoto?
Akileta ngebe sana , mpeleke ustawi wa jamii , ni haki yako kama baba ushiriki malezi ya mwanaoAsante. Changamoto iliyopo ni communication. Mfano mtoto ameumwa hamna taarifa kutoka kwake. Umepata taarifa kutoka sehemu nyingine umepiga umempigia simu amakujibu hamna shida then mabishano ya kipuuzi!
Huyo mlezi amejuaje ww ndio baba, wakat mama ndo alianza kumpeleka?Namlipa ada na yeye ndo ananipatia-ga taarifa za mtoto za kielemu kumbuka hapo kituoni ndo mahali pia nimeanza kuonana na mtoto ili anijiue kama baba
Nilijitambulisha pale na huyu mwanamke alikuja kuthibitisha kwa kunipigia simu kama kweli nilienda pale. Na baadaye mwalimu alinieleza aliyomweleza kunihusu mimi so uhusianocwangu na mwalimu ukaendelea since that dayHuyo mlezi amejuaje ww ndio baba, wakat mama ndo alianza kumpeleka?
🤝Nilijitambulisha pale na huyu mwanamke alikuja kuthibitisha kwa kunipigia simu kama kweli nilienda pale. Na baadaye mwalimu alinieleza aliyomweleza kunihusu mimi so uhusianocwangu na mwalimu ukaendelea since that day
Mbona kawaida! Inaonesha wewe ndiye ulimuacha. Hilo ndilo kosa lako. Ulitakiwa ufanye chini juu, yeye ndiye akuache, hapo usingeipata na bado. Anamtumia mtoto kama Kiboko cha kukuchapia.Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother.
Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake.
Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki.
Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha! Nimechunguza mpaka nimwijua hiyo daycare kwa mwezi wanachaji 25000/=
Nilivyoenda sikumshirikisha.
Baada ya siku mbili nikamtafuta kumuuliza hapo kituoni mtoto aliko ada bei gani akajibu 100k ! Na kumbe si kweli.
Inshort huyu single mother anafanya juhudi nyingi sana kutaka kunitenganisha na mtoto.
Sasa hivi nao nana na mtoto kituoni mlezi wa kituo ndiye ananipa taarifa za mtoto.
Mtoto hajenda hapo kituoni siku mbili (kumbuka nimeanza kulipa ada) mwalimu nimemuulizia maendeleo ya mtoto akasema hajaja siku mbili shuleni anaumwa. (Mama yake hanishirikishi)
Nimempigia simu huyo mwanamke anajibu shirt!
Katika situation kama hii itakuwaje nijenge mahusiano na mtoto wangu? Mtoto ni wakike ana miaka minne
Ustawi, wata side na mama tu! Hii kitu ni shida sana!Huenda sio damu yako. Kama vipi nenda ustawi wa jamii ili uweke mambo sawa. Una haki ya kumuona mwanao ili umpe haki yake kama elimu.