Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
""Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.""
Asante
#YNWA
Asante
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini anagongana na mtu mwenye mahusiano mengine?Mim nachoona ww ndo unastress na maisha ya watu.
Achana na akili za kivulana, single mother ni akili kubwa
Kama we huwezi muoa single mother wapo wanaweza kuwaoa tulia
😅😅😅😅ila dah""Kweli alisafiri. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano.""
#YNWA
Kuna jamaa mmoja nilipewa number yake akawa ananitumia mizigo mwaka 2016 mpaka leo hii sijawai kuona sura yake status na always huwa anaweka status mbili huwa anapost kiatu alichovaa na ya pili anaweka pic ya kiongozi yoyoteIla status bana Kuna watu ukiona tu unajua maisha yake yalivo ila Kuna wengine utasugua bench kumjua kwa kutumia status
Daaah [emoji28][emoji28]Mkuu nilishasema kitambo kwamba UKIJAMKUTA SINGO MAZA ANAPIGANA NA NYOKA,MSAIDIE NYOKA..Muuweni huyo mama singo
Ushawahi mwambia unamhitaji kimapenzi?To yeye, kiukweli mnazingua. Imagine huyu single mother ningezama mazima. Halafu ndio hivyo mara bukoba kwa mwanaume wake, utaka kusema tunawaonea ha hapo?
🤣🤣🤣HIVI NI MM SIELEWI MAANA YA SINGO MAZA., INA MAANA KUNA DOUBLE MOTHER?
Samaleko...
Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.
Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.
Nikatulia kama wiki kadhaa nikamche, just kumpa salam. Nikamuuliza upo wap? Akanijibu, kumbe anapofanya kazi nami huwa napita kila siku nikitoka kwenye mishe zangu jion. Basi nikamwambia naomba nisubiri nitakupitia hapo, akaubali.
Basi nimefunga zangu mida ya saa3 usiku nikamuuliza umemaliza kazi akajibu ndio, nikamwambia nakupitia, akajibu sawa. Kweli nikampita, nikampitisha mahala kupata dinner then kila mtu kwao. Siku ikaisha.
Sasa kipindi hichi sasa nikaanza kukathaminisha kama kanaweza nifaa kwenye nia yangu. Kimuonekano kakawa kanaingia, kanatoka. Nikajiambia anyway, ngoja nitupe ndoano huwezi jua pengine roho yake na treatment zake zinaweza nifanya nizame mazima. Wakati huu bado sijui kama ni ka single mother maana kalikua hakana muonekano wa kamba kalisha zaa na hakana smartphone, so sikua hata naona status zake whatsapp. Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.
Basi nikaanza kukasaundisha. Kakaanza kuingia lain. Jinsi nilivyokua romantic hadi kuna siku kakaniambia "yaani wanaume wengine jaman, unaweza hata wabebea mimba". Mimi bichwa hilo.
Basi life likaendelea, muda huu wote sijui kama ni ka single mother. Siku moja, nikasema leo nataka nijiridhishe na maisha yake. Nikamwambia atafute siku atakua na muda nimtoe dinner. Kweli akaniambia siku flan. Siku ikafika tukatoka. Basi ni msosi na soft drinks tu (situmii alcohol).
Kwenye mastori nikamtega akajaa. Akaanza kufunguka kuwa yy anamtoto wa kike alizaa na jamaa wa bukoba. Mtoto anaishi na baba yake bukoba. Nikamtega zaidi akaendelea kufunguka. Akasema, kuwa anampigia sim mzazi mwenzie anampa sim mtoto anaongea nae. Nikajiambia, hawa bado wana bondi inayoishi kabisa. Kwa kifupi nika conclude kwamba siku hio iwe mwisho wa kumfuatilia. Basi baada ya muda nikarudisha kwao maana anakaa na mama yake.
Sasa wiki mbili zilizopita nilimuona maeneo flan mida ya saa3 asubuhi ila yy hakuniona. Ilipofika saa5 nikamtext, nimekuona maeneo flan sijui ulikua wewe. Akasema ndio ni mm. Nikamuuliza hujaenda kazini? Akajibu sijaenda, ninasafari ya bukoba leo naondoka na magari ya saa7 yanayotoka dar. Nikamwambia safari njema. In short nilihisi kabisa anenda kwa mzaz mwenzie. Sasa kipindi hichi kesha nunua smartphone.
Kweli alisafiki. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano. Muda huu mm nilishasitisha zoezi, so nothing to complain.
Ninachota kuwaambia, kuoa single mother ni kujitafutia stress tu. Hawaachanagi hawa. Kama uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Hii ndo pointMuda huu mm nilishasitisha zoezi,
Akiumwa anatupia ki emoji cha dawa, akisafiri anaweka kigariWapo tofauti sana na sisi ni ngumu sana kujua maisha ya mwanaume kupitia account yake ya mtandaoni ila wanawake asilimia kubwa utajua Leo Yuko depressed Leo anahiki
Jamaa anazingua ukioaa single maza au ukidate nae kubali ukweli jamaa aliemzalishaa ana nafasi kubwa kwenye maisha yake kuliko wewe labda awe KAPUKUUU MNOOO.. otherwise utamu atakula akitaka.Wewe ndio una matendo maovu umeingia kusiko kuhusu,,sasa mtu asimposti mwanae??na ulitaka asimpongeze mzazi mwenzie kwa kumtunza mtoto vizuri,,,simu ni yake,,bando la kwake,,, mtoto ni wake,,,mwanaume ni wake!!huwezi ukachukia na kumpangia kama wewe unavyotaka tafuta wako na wewe umzalishe na sio kurukiarukia vya watu,,,alafu alishakueleza kila kitu kabla,,wewe ndio ulishindwa kujiongeza??acha kupenda vitonga ndio matatizo yake hayo
Heheeeheee[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nilishasema kitambo kwamba UKIJAMKUTA SINGO MAZA ANAPIGANA NA NYOKA,MSAIDIE NYOKA..Muuweni huyo mama singo