Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
🤣🤣Hakuna kijana mwenye akili timamu anaweza oa single mother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Hakuna kijana mwenye akili timamu anaweza oa single mother
Wewe ni mpumbavu.Mkuu nilishasema kitambo kwamba UKIJAMKUTA SINGO MAZA ANAPIGANA NA NYOKA,MSAIDIE NYOKA..Muuweni huyo mama singo
Kuzaliwa na single mother hakufanyi wewe uoe single mother, je Kama mamayako alikua Malay** na wewe utaoa malaya, Kama mamako m hawi na wewe utaoa mchawi,....mahusino yako hayaingilia I na line ya ndugu zako mpaka uheshimiweWaweza kuta na yeye anazaliwa na single mother.
Yaani una mahusino ya kimapenzi na mimi then umposti mwanaume mwengine kwamba unamsifi 'asante kunilelea mwanangu' kisa bando lako na simu yako Ni hakuna mwanaume timamu atakubaliana na huo upuuzi na hata akipotezea hayo MAHUSIANO hayatofika mbali.Wewe ndio una matendo maovu umeingia kusiko kuhusu,,sasa mtu asimposti mwanae??na ulitaka asimpongeze mzazi mwenzie kwa kumtunza mtoto vizuri,,,simu ni yake,,bando la kwake,,, mtoto ni wake,,,mwanaume ni wake!!huwezi ukachukia na kumpangia kama wewe unavyotaka tafuta wako na wewe umzalishe na sio kurukiarukia vya watu,,,alafu alishakueleza kila kitu kabla,,wewe ndio ulishindwa kujiongeza??acha kupenda vitonga ndio matatizo yake hayo
Yaani upo kwenye MAHUSIANO na mwanaume X then unampostiposti mwanaume Y eti kwasababu mulia hana for goodHapana wapo watu wengi sana ambao wanajielewa wakiachana na Baba za watoto wao inakua for good na yanabaki malezi tu.
Kuna kuachana alafu kuna kutokua maadui.
Maisha mengine yanaweza kuendelea ikiwemo hata kupostiana.
Sometimes be happy hakua muongo na hakukudanganya.
Hapo wewe unamuita single mother na hapo ulikua unataka mtumia tu aisee[emoji1418]
Na ingekua unatafuta ndoa ingekuaje?
Wewe ndio una kiherehere umtongoze mwenyewe kwa shida zako mbaya zaidi anakueleza kuwa ana mtoto na baba yake yupo,,,unifanya romantiki kumtoa hadi auti leo nakuja kuposti bondi yake kwa furaha zake na ni haki pia una chukia,,unachukia nini sasa kama si uwendawazimu wako,,,ulitaka akuposti wewe kwa minajili ipi,,huna kumbukumbu ya aina yoyote kwake zaidi ya autini zakishamba na akakuona boya hata kugusa hujagusa,,akaamua kuipeleka kwa mzazi mwenzie wewe umezubaa tuu unaleta ujuxi kwenye k***maa utalialia kila siku!!!Yaani una mahusino ya kimapenzi na mimi then umposti mwanaume mwengine kwamba unamsifi 'asante kunilelea mwanangu' kisa bando lako na simu yako Ni hakuna mwanaume timamu atakubaliana na huo upuuzi na hata akipotezea hayo MAHUSIANO hayatofika mbali.
Unapokuwa kwenye MAHUSIANO inabidi ujue Nini maana ya mahusino na gharama zake kwa akili hizi mutaendelea kuwasema wanaume kwanini wanachukia Single Mother kumbe tatizo ni wenyewe hawajielewi na mwisho wa siku maisha ni ya huyo single mother asipojielewa atapigwa Sana na kutupwa.
Single Mother mujielewe
Mkuu upo sahihi lakini kumbuka hawa single mother kilasiku ndio wanalialia kuwa wanaume mbona wanakataa kjwaoa wanawasema kwani wao hawana sifa za kuolewa, Sasa kwamantiki siwataendelea kulia kilasiku maana hao naona ndio wanatia ujinga wanaume wanakuwa na nia ya kuwastiriWewe ndio una kiherehere umtongoze mwenyewe kwa shida zako mbaya zaidi anakueleza kuwa ana mtoto na baba yake yupo,,,unifanya romantiki kumtoa hadi auti leo nakuja kuposti bondi yake kwa furaha zake na ni haki pia una chukia,,unachukia nini sasa kama si uwendawazimu wako,,,ulitaka akuposti wewe kwa minajili ipi,,huna kumbukumbu ya aina yoyote kwake zaidi ya autini zakishamba na akakuona boya hata kugusa hujagusa,,akaamua kuipeleka kwa mzazi mwenzie wewe umezubaa tuu unaleta ujuxi kwenye k***maa utalialia kila siku!!!
Swala la kuolewa halina uhusiano na usingomaza mbona kuna wengine hata hao watoto hawana na hawajaolewa pia na ni wengi kuliko hao masingo maza,,,alafu usingo maza hausabishwi na yeye mwenyewe au wamezaliwa nao huo usingo maza kama kalio,, lazima mwanaume ahusike pia,,,tatizo lipo kwa pande mbili zote Me na Ke tusijitoe katika hili,,,kuepuka haya yote kila mmoja asimame kwenye nafasi yake###KipenziChaMasingoMaza###Mkuu upo sahihi lakini kumbuka hawa single mother kilasiku ndio wanalialia kuwa wanaume mbona wanakataa kjwaoa wanawasema kwani wao hawana sifa za kuolewa, Sasa kwamantiki siwataendelea kulia kilasiku maana hao naona ndio wanatia ujinga wanaume wanakuwa na nia ya kuwastiri
Kumbuka mwanaume Kama jamaa mtoa mada Hana Cha kupoteza je huyo single mother akiendelea na hayo uliyosema ni sahihi kufanya kuna mwanaume timamu atatengeneza malengonae Kama huyo aliyempa mtoto just alipiga tu.
Liangali one hili jambo kwa ange hii
Naona hata hatuelewani hapa u aandika POINT lakini OUT OF PONT (OP) nachaeleza tofauti unachandika tofautiSwala la kuolewa halina uhusiano na usingomaza mbona kuna wengine hata hao watoto hawana na hawajaolewa pia na ni wengi kuliko hao masingo maza,,,alafu usingo maza hausabishwi na yeye mwenyewe au wamezaliwa nao huo usingo maza kama kalio,, lazima mwanaume ahusike pia,,,tatizo lipo kwa pande mbili zote Me na Ke tusijitoe katika hili,,,kuepuka haya yote kila mmoja asimame kwenye nafasi yake###KipenziChaMasingoMaza###
Hapo hauoni kosa? Wewe nawe ni mpumbavu kama yeye kumbe.Punguzan povu. Ameshauri tu kuwa, "ukimkuta single mother anapigana na nyoka, wewe msaidie nyoka kumuua single mother " kosa lake nn hapo
😂😂😂Dadeq nimecheka mniombee Kuna muda mambo yanaweza kuwa hayaendi kwa kuweka public mtu anaona unachofanya anaingiwa na husda ndo mana hata serikali Ina Siri zake raia hawapaswi kujuaKuna jamaa mmoja nilipewa number yake akawa ananitumia mizigo mwaka 2016 mpaka leo hii sijawai kuona sura yake status na always huwa anaweka status mbili huwa anapost kiatu alichovaa na ya pili anaweka pic ya kiongozi yoyote
Pia mara moja moja huwa anapost pic ya mkono wa mwanamke (nadhani ndio demu wake)
Alafu Nina rafiki yangu mmoja muhaya sidhani kama Facebook kuna mtu hajui kuwa ni mechanical engineer Tanapa mwamba lzm always apost pic yake akiwa job na caption pendwa "MNIOMBEE"
😅😅😅kweliIla kwenye stori yako hakuna mahali alikuambia yupo single. Ni wewe tu uliitaka mbususu yake kaipeleka Bukoba kwa mzazi mwenzake unaanza visa.
Usimpakazie ubaya basi uyo bidada
Halafu kuna mpuuzi anasema tunawaoneaNilipata singo mama mmoja ni mtumishi wa Serikali kule Musoma.
Aliniambia mzazi mwenzake yupo Mwanza ila wameeachana anatoa tu huduma za mtoto.
Kila siku tukawa tunawasiliana kwenye simu. Ila ikifika weekend tu hapatikani hewani. Juma tatu ikifika naona facebook ametupia picha zinazoonyesha mandhari ya jiji la Mwanza.
Nikamuacha hata bila kumuambia.