Single mother bana, tabu tupu

Single mother bana, tabu tupu

Samaleko...

Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.

Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.

Nikatulia kama wiki kadhaa nikamche, just kumpa salam. Nikamuuliza upo wap? Akanijibu, kumbe anapofanya kazi nami huwa napita kila siku nikitoka kwenye mishe zangu jion. Basi nikamwambia naomba nisubiri nitakupitia hapo, akaubali.

Basi nimefunga zangu mida ya saa3 usiku nikamuuliza umemaliza kazi akajibu ndio, nikamwambia nakupitia, akajibu sawa. Kweli nikampita, nikampitisha mahala kupata dinner then kila mtu kwao. Siku ikaisha.

Sasa kipindi hichi sasa nikaanza kukathaminisha kama kanaweza nifaa kwenye nia yangu. Kimuonekano kakawa kanaingia, kanatoka. Nikajiambia anyway, ngoja nitupe ndoano huwezi jua pengine roho yake na treatment zake zinaweza nifanya nizame mazima. Wakati huu bado sijui kama ni ka single mother maana kalikua hakana muonekano wa kamba kalisha zaa na hakana smartphone, so sikua hata naona status zake whatsapp. Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.

Basi nikaanza kukasaundisha. Kakaanza kuingia lain. Jinsi nilivyokua romantic hadi kuna siku kakaniambia "yaani wanaume wengine jaman, unaweza hata wabebea mimba". Mimi bichwa hilo.

Basi life likaendelea, muda huu wote sijui kama ni ka single mother. Siku moja, nikasema leo nataka nijiridhishe na maisha yake. Nikamwambia atafute siku atakua na muda nimtoe dinner. Kweli akaniambia siku flan. Siku ikafika tukatoka. Basi ni msosi na soft drinks tu (situmii alcohol).

Kwenye mastori nikamtega akajaa. Akaanza kufunguka kuwa yy anamtoto wa kike alizaa na jamaa wa bukoba. Mtoto anaishi na baba yake bukoba. Nikamtega zaidi akaendelea kufunguka. Akasema, kuwa anampigia sim mzazi mwenzie anampa sim mtoto anaongea nae. Nikajiambia, hawa bado wana bondi inayoishi kabisa. Kwa kifupi nika conclude kwamba siku hio iwe mwisho wa kumfuatilia. Basi baada ya muda nikarudisha kwao maana anakaa na mama yake.

Sasa wiki mbili zilizopita nilimuona maeneo flan mida ya saa3 asubuhi ila yy hakuniona. Ilipofika saa5 nikamtext, nimekuona maeneo flan sijui ulikua wewe. Akasema ndio ni mm. Nikamuuliza hujaenda kazini? Akajibu sijaenda, ninasafari ya bukoba leo naondoka na magari ya saa7 yanayotoka dar. Nikamwambia safari njema. In short nilihisi kabisa anenda kwa mzaz mwenzie. Sasa kipindi hichi kesha nunua smartphone.

Kweli alisafiki. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano. Muda huu mm nilishasitisha zoezi, so nothing to complain.

Ninachota kuwaambia, kuoa single mother ni kujitafutia stress tu. Hawaachanagi hawa. Kama uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Mmh Mungu atusaidie jaman, pepo la kutamani mtoto kabla ya ndoa shindwa kwa jina la Yesu.
 
Hao wanawake mara nyingi wanajikuta wanatumikia mabwana wawili, huyo mwenye mtoto ndio kipaumbele zaidi tena usiombee baba mtoto awe mshenz mshenz aisee atakut*mbea huyo mama kila atapojisikia hamu.. wanawake wachache sana hukazaga kwa baby dady wao
Huu uzi ufunge mis kashamaliza
 
Single maza oyeee

oyee

jamani mbona siskii?? Ongezeni sauti kdogo. Waacheni wapumue ... Dunia haijawahi kua fair, kati ya singo maza na mgumba je?
 
Singo maza ni sawa na kununua gazeti jioni,fulustop...

Niwe mjinga,kilaza,mpumbavu utajua wewe ila watu wangu wakaribu huwa wananielewa ninapowaeleza kuwa singo maza ni kama kituo cha polisi...

Wewe pamoja na werevu wako lakini unalea hako katoto peke ako na ujinga wako..wanawake kama wewe mliletwa duniani mkutane na wanaume wawazalishe,wawatelekeze ili muwe mifano kwa wengine...
Usiichukie hali uliyonayo wewe ni singo maza tu na kama inauma chomoa.
Kwaiyo Hannah yupo dunia kwa niaba ya kuwa mfano kwa wengine?
 
Halafu anakuja mpumbavu mmoja ametoka huko machakani...
Ni singo maza,Hajui kuhusu ndoa,hajui uhuru wa mtu,kato**wa hajaoga,ananuka janaba,na kapua kake ameweka juu et "wewe mpumbavu,sijakutukana nimekuita jina"...
Aisee kaa mbali na singo maza,
 
Umepaniki!!! Hahahahaha hujui unachozungumza na huwezi kunipangia kitu..eti ndoto za kuwa kama mumeo hahaha....
Ooh kumbe ulikesha? Haukuwa na usingizi? Oops hata hivyo stress haziwezi kukuruhusu upate usingizi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Samaleko...

Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.

Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.

Nikatulia kama wiki kadhaa nikamche, just kumpa salam. Nikamuuliza upo wap? Akanijibu, kumbe anapofanya kazi nami huwa napita kila siku nikitoka kwenye mishe zangu jion. Basi nikamwambia naomba nisubiri nitakupitia hapo, akaubali.

Basi nimefunga zangu mida ya saa3 usiku nikamuuliza umemaliza kazi akajibu ndio, nikamwambia nakupitia, akajibu sawa. Kweli nikampita, nikampitisha mahala kupata dinner then kila mtu kwao. Siku ikaisha.

Sasa kipindi hichi sasa nikaanza kukathaminisha kama kanaweza nifaa kwenye nia yangu. Kimuonekano kakawa kanaingia, kanatoka. Nikajiambia anyway, ngoja nitupe ndoano huwezi jua pengine roho yake na treatment zake zinaweza nifanya nizame mazima. Wakati huu bado sijui kama ni ka single mother maana kalikua hakana muonekano wa kamba kalisha zaa na hakana smartphone, so sikua hata naona status zake whatsapp. Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.

Basi nikaanza kukasaundisha. Kakaanza kuingia lain. Jinsi nilivyokua romantic hadi kuna siku kakaniambia "yaani wanaume wengine jaman, unaweza hata wabebea mimba". Mimi bichwa hilo.

Basi life likaendelea, muda huu wote sijui kama ni ka single mother. Siku moja, nikasema leo nataka nijiridhishe na maisha yake. Nikamwambia atafute siku atakua na muda nimtoe dinner. Kweli akaniambia siku flan. Siku ikafika tukatoka. Basi ni msosi na soft drinks tu (situmii alcohol).

Kwenye mastori nikamtega akajaa. Akaanza kufunguka kuwa yy anamtoto wa kike alizaa na jamaa wa bukoba. Mtoto anaishi na baba yake bukoba. Nikamtega zaidi akaendelea kufunguka. Akasema, kuwa anampigia sim mzazi mwenzie anampa sim mtoto anaongea nae. Nikajiambia, hawa bado wana bondi inayoishi kabisa. Kwa kifupi nika conclude kwamba siku hio iwe mwisho wa kumfuatilia. Basi baada ya muda nikarudisha kwao maana anakaa na mama yake.

Sasa wiki mbili zilizopita nilimuona maeneo flan mida ya saa3 asubuhi ila yy hakuniona. Ilipofika saa5 nikamtext, nimekuona maeneo flan sijui ulikua wewe. Akasema ndio ni mm. Nikamuuliza hujaenda kazini? Akajibu sijaenda, ninasafari ya bukoba leo naondoka na magari ya saa7 yanayotoka dar. Nikamwambia safari njema. In short nilihisi kabisa anenda kwa mzaz mwenzie. Sasa kipindi hichi kesha nunua smartphone.

Kweli alisafiki. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano. Muda huu mm nilishasitisha zoezi, so nothing to complain.

Ninachota kuwaambia, kuoa single mother ni kujitafutia stress tu. Hawaachanagi hawa. Kama uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Kila siku tunasisitiza mashamba yenye migogoro sio ya kununua
 
Asante baba kwa kunitunzia mwanangu..lol mwanamke tu hayuko smart....

Ni upuuzi kuweka maisha yako kwenye status..
 
Back
Top Bottom