Single mother bana, tabu tupu

Single mother bana, tabu tupu

Mnawapendea nn? Mbona kama mnateseka nao sana? Kuna kitu wanaume huwa kinatuumiza sana, kushindwa kumfuta mwanaume mwezako kichwani kwa mwanamke uliye naye. Wengi wanaolalamika kuhusu single mothers ni wale wanaotaka kujiaminisha wao ni wanaume kuliko waliompa mimba. Kama huna ulilotegemea ungefanya yako ungeondoka, wala asingekutesa.
kisirani ana Hadithi nzuri sana
 
Ukiona mwanaume mwenzako kakimbia ujue huyo yamemshinda mambo fulani Kwa huyo mwanamke aidha tabia za kukera au zisizo himilika au kukosoa uaminifu au tabia za uzinzi n.k

Sasa wewe kichwa kichwa unaingia............single mother aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane.
 
Yeah hawajielewi ndio.
Unajua ni lazima ujiulize sana why mwanaume mwenzako kapiga chini so angalau upate mwanga vinginevyo utakuja kujuta.
Wengi wana akili za kimaskini. Atajifanya ana hasira na jamaake ila wakikutana kuonyeshana mtoto wao wanagongana kama kawa. Oa hao rain ujute
 
Ukiona mwanaume mwenzake kakimbia ujue huyo yamemshinda mambo fulani Kwa huyo mwanamke aidha tabia za kukera au zisizo himilika au kukosoa uaminifu au tabia za uzinzi n.k

Sasa wewe kichwa kichwa unaingia............single mother aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane.
Sasa mbona Single mothers vilio vyao humu ni vichache mno? Yaani wao ni kunyoosha tu halafu wanaziba masikio na vijana hawaachi kuwafata. Kuna kitu kimejificha hamsemi.
images (22).jpeg
images (21).jpeg
 
Ukiona mwanaume mwenzako kakimbia ujue huyo yamemshinda mambo fulani Kwa huyo mwanamke aidha tabia za kukera au zisizo himilika au kukosoa uaminifu au tabia za uzinzi n.k

Sasa wewe kichwa kichwa unaingia............single mother aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane.
aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane..

Mjane wa kizanzibar tufafanulie japo....kidogo😔

Nacho kujua wanawake wa Zanzibar ni wakarimu sana wanajua nafasi zao pia wanaupendo wa Dhati....
 
Back
Top Bottom