whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Hizo ela unazowapa wanawake nunua viwanja jenga nyumba za wapangaji, ukizeeka ni bia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapenda nataka wabadirike tuwape tija ya maishaKwani lazima u date single mother
Majini teule yaliyotapakaa kila kona-wanapeleka watoto shule za bei kubwa ambazo hawazimudu
-wanacheza vikoba, na hawana kipato
-wanafungua biashara zisizo na kichwa wala miguu
90% may not be that much broadly but they are a real headache. Hawatoshiki they are too much multiple seekers beyond their earnings.Ni wote?
kisirani ana Hadithi nzuri sanaMnawapendea nn? Mbona kama mnateseka nao sana? Kuna kitu wanaume huwa kinatuumiza sana, kushindwa kumfuta mwanaume mwezako kichwani kwa mwanamke uliye naye. Wengi wanaolalamika kuhusu single mothers ni wale wanaotaka kujiaminisha wao ni wanaume kuliko waliompa mimba. Kama huna ulilotegemea ungefanya yako ungeondoka, wala asingekutesa.
Kwa msaada wa watu wa.......🤣🤣90% may not be that much broadly but they are a real headache. Hawatoshiki they are too much multiple seekers beyond their earnings.
They want to operate with several fronts without resources.
Sasa mbona Single mothers vilio vyao humu ni vichache mno? Yaani wao ni kunyoosha tu halafu wanaziba masikio na vijana hawaachi kuwafata. Kuna kitu kimejificha hamsemi.Ukiona mwanaume mwenzake kakimbia ujue huyo yamemshinda mambo fulani Kwa huyo mwanamke aidha tabia za kukera au zisizo himilika au kukosoa uaminifu au tabia za uzinzi n.k
Sasa wewe kichwa kichwa unaingia............single mother aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane.
aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane..Ukiona mwanaume mwenzako kakimbia ujue huyo yamemshinda mambo fulani Kwa huyo mwanamke aidha tabia za kukera au zisizo himilika au kukosoa uaminifu au tabia za uzinzi n.k
Sasa wewe kichwa kichwa unaingia............single mother aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane.