Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!

Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".

Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
 
Hawa watu akili zao huwa kama zimevurugwa,kuna mmoja alishawahi kumwambia mzazi mwenzie eti wewe ndio mwanaume niliowahi kukupenda kuliko wanaume wote hapa duniani,wakati tayari kaolewa na mwanaume mwingine.Hapa ndio utawakumbuka wale wanaosema kama unataka kuoa single mother inatakiwa usikie baba mtoto wake amefariki...
 
 
Bila shaka huyo single mother ana mshahara au anaingiza kipato fulani.

Jamaa achague kuosha vyombo au amwachie mwanamke nyumba akanze upya kuteleza sio kuanguka.
 
Tatizo Single Maza ni watamu ukiwa hujamuweka ndani anajilipua.
Care kama zote.
Jichanganye sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…