Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".
Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.