DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kweli kabisa,Mwanamke akishakuwa na mtoto mahusiano yake mapya yanakuwa na shida sana...
Tatzo wanawapenda kupitiliza watoto kias Cha kuharibu maadili yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa,Mwanamke akishakuwa na mtoto mahusiano yake mapya yanakuwa na shida sana...
😂😂😂😂muone. Nikimalizana na Mama Ikram narudi kwenye Vayolensi.Nikionaga comment yako ambayo haijakaa kivayolensi vayolensi wala sipatagi raha mimi wallahi!
View attachment 2865266
Tatzo liko hapo,Akiwa mjinga ndio yatakuwa ya shida mkuu.
Mbona baba wa kambo wengi wanaishi na watoto wao wa kambo vizuri tu?
Shida ni pale mama asipotaka kukubali yule baba wa kambo asimame kama baba na sheria zake katika malezi zifuatwe.
Anataka baba wa kambo jukumu lake liwe ni kutoa hela tu mtoto akitaka hiki au kile. Kwenye kunyoosha tabia anaona mtoto wake ananyanyasika ujinga tuHapa ndipo penye ujinga wenyewe,kakubali kuolewa na mtoto,halafu baba akitaka kuchukua nafasi yake kama baba mlezi anaanza kumkingia kifua mwanaye...
Happy New Year to you too. You are one of a kind wallahi. Kama Wanyaki wote wana amsha amsha kama wewe aisee kuna haja ya kutafuta Mnyaki maana maisha yatachangamka hatari 😁😁🖐😂😂😂😂muone. Nikimalizana na Mama Ikram narudi kwenye Vayolensi.
Happy new year Mkuu.
Jaribu kuvaa viatu vya mleta mada,Kwa ufupi, haukuwa tayari kuwa baba wa kambo na hukumpenda huyo mtoto ulijilazimisha. Wototo wana madhaifu mengi inahitajika busara sana kudeal nao.
Yaani mnafanya mapenzi kwa kujibana kisa mtoto wa miaka 6 asiyetaka kulala mwenyewe😂😂😂. Kwanza siku hizi mtoto wa mwaka tu ana chumba chake ndio miaka 6.Tatzo liko hapo,
Yaani baba ukienda against na mtoto inaonekana unamnyanyasa, kumbe ndo malezi yenyewe.
Waoooh waooohhhh😍😍Thank you for your compliment . Unajua haya maneno huwa siyapati kabisa basi leo siku yaangu ni njeeema.Happy New Year to you too. You are one of a kind wallahi. Kama Wanyaki wote wana amsha amsha kama wewe aisee kuna haja ya kutafuta Mnyaki maana maisha yatachangamka hatari 😁😁🖐
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuvumilia huko siko huyo Mwanamke hana akili... na jamaa hata kama amlee, mama siku zote atamtenga mtoto kihisia na mlezi yanini kufa bora amemuacha.Vumilia Baba ikram[emoji28]
Ndio maisha hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba mvumilivu sana5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Anatulia vipi ilihali mama anamtenganisha mtoto kisaikolojia na mlezi, Kakishakua hatomsikiliza kabisa mlezi wake (baba wa kambo)..Ki ufupi ni kwamba huyo mtoto hapendeki kwasababu ya mama yake na mwanaume mwenye heshima zake hawezi kuona mtoto anaharibika chini ya himaya yake iwe ni wake au sio wakekinajua kucheza amapiano na singeli
[emoji2][emoji3][emoji134][emoji115]
Ndugu, inaonekana huna upendo na watoto wadogo.
Sema usemavyo, huyo ni mtoto na anahitaji malezi na maelekezo.
Pia huyo mwanamke umeshindwa kumridhisha kisaikolojia ili asione utofauti wa baba mzazi na baba mlezi wa mtoto.
Ukiweza kumpenda huyo mtoto hakika huyo mwanamke ungemgusa moyo wake na angetulia.