BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Samahani before ni coment chochote huwa naangalia jina la aliepost.hii inanipa maana kubwa sana ya kilicho akilini kwake. Back to your topic
Bro ulitakiwa usimame kama baba kwa huyo mtoto. Anza kuwa rafiki nae ili aelewe vitu baadhi hapa baba kachukia hapa baba amekasirika.
Sometimes single mothers sio shida shida ni manna ya kuenda nao.
Umeshawin moyo wa mama yake basi win na moyo wa mwanae. Ifike hatua mtoto aje akuambie kitu kwa furaha hata kama sio wa kwako.
Unalalamika anaangalia Tv lakini ukute mtoto hana hata toys za kuchezea,Bro nunua vifaavya mtoto kuchezea sio vile vile kila siku.
Mtoe kwenye kuangalia tamthilia instead weka katuni angalianae.
KUTAKA KUISHI VIZURI NA MWANAMKE AMBAE HATA MTOTO WAKO MPENDE MWANAE MAANA YEYE UMESHAMPENDA NA HANA SHAKA NA WEWE TENA.