Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Samahani before ni coment chochote huwa naangalia jina la aliepost.hii inanipa maana kubwa sana ya kilicho akilini kwake. Back to your topic

Bro ulitakiwa usimame kama baba kwa huyo mtoto. Anza kuwa rafiki nae ili aelewe vitu baadhi hapa baba kachukia hapa baba amekasirika.

Sometimes single mothers sio shida shida ni manna ya kuenda nao.

Umeshawin moyo wa mama yake basi win na moyo wa mwanae. Ifike hatua mtoto aje akuambie kitu kwa furaha hata kama sio wa kwako.

Unalalamika anaangalia Tv lakini ukute mtoto hana hata toys za kuchezea,Bro nunua vifaavya mtoto kuchezea sio vile vile kila siku.

Mtoe kwenye kuangalia tamthilia instead weka katuni angalianae.

KUTAKA KUISHI VIZURI NA MWANAMKE AMBAE HATA MTOTO WAKO MPENDE MWANAE MAANA YEYE UMESHAMPENDA NA HANA SHAKA NA WEWE TENA.
 
Na kama atakusikiliza atakuja kukushukuru
 
Kiufupi ww bado hujakua na inaonyesha hujabahatika kuwa na na mtoto wako wa kumzaa pia inaonyesha wazi kabisa unamchukia huyo dogo kitambo, Kuna baadhi ya tabia hapo umezitaja ni kawaida sana kwa watoto haijalishi ni wako wa wa kumlea imagine hizo tabia angekuwa nazo mwanao wa kumzaa ungefanya huu ujinga uliouandika hapa?
 

Acha kufundisha vijana kuwa watumwa.
Binti ndiye anatakiwa awe flexible ku-match na mfumo wa jamaa. Na sio jamaa a-match mfumo wa hiyo mama
 
Kiufupi ww bado hujakua na inaonyesha hujabahatika kuwa na mtoto wako wa kumzaa pia inaonyesha wazi kabisa unamchukia huyo dogo kitambo, Kuna baadhi ya tabia hapo umezitaja ni kawaida sana kwa watoto haijalishi ni wako au wa kumlea imagine hizo tabia angekuwa nazo mwanao wa kumzaa ungefanya huu ujinga uliouandika hapa?
 

Mfano wa tabia alizoainisha ambazo ni kawaida taja mkuu sio uandike upate sifa.
 

Tafuta singke Mother mwenye tabia kama za mtoa post kisha fanya haya uliyoyaelekeza hapa. Au omba namba kwa jamaa umchukue huyu.
 
Hujakosea, acha akuone una roho mbaya ila upo sahihi, malezi ya kipuuzi hayo hata mwanangu wa damu siwezi mle hivyo, anachezea makonzi akileta umama mama.
Makaveli.
Roma empire haikujengwa mwaka mmoja.
Mke bora hutengenezwa.
Kutengenezana pia sio week moja.

Ampe nafasi ya kurekebishika.

Kumbuka huyo mtoto ndiye faraja prkee aliyokuwa nayo huyo mwanamke
 
Si useme tu ni wewe penseli😱
 
Usiombe ukutane na watoto wangu!ni displin yao imenyooka kama rula,,,mi mkali wanajua,kitu nisipokubaliana nacho nawanyoosha on the spot.....sema Nini ni kama dada Mmoja kazaa na mdogo wangu🤣🤣🤣

Kabla sijaishi na binti au Mwanamke yoyote lazima nimmnyooshe mpaka awe vile ninavyoona sasa anaweza kuwa Mke. Kisha ndipo niishi naye

Napenda Wanawake wa Kali kwa sababu wengi wanaakili alafu mbili yake ni Watu wa kanuni hivyo watakuwa na misimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…